Amnyonga Mwanaae Hadi Kufa Huku Akijirekodi, Kisha Apiga Selfie na Mwili Wake

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Mkazi wa Mtaa wa Kota, Kata ya Mlandege Mkoani Iringa, Goodluck Mgovano aliyekadiriwa kuwa na umri wa miaka 33 anadaiwa kumuua Mtoto wake Alvini Mgovano mwenye umri wa miaka minne kwa kumnyonga na kamba ya viatu huku akijirekodi kwa simu yake ya mkononi wakati akimnyonga Mtoto na alipomaliza akapiga selfie na mwili wa Mtoto na kuacha ujumbe ulioelekeza wapi Mtoto huyo azikiwe.

@AyoTV_ imefika nyumbani kwa Familia ya Marehemu na kukuta hali ya simanzi kwa Ndugu na Majirani ambapo wamesema wakati Baba anamnyonga Mtoto, Mkewe hakuwepo nyumbani na aliporudi alipiga kelele ‘Mume wangu amempa Mtoto sumu’ ndipo Majirani waliingia ndani na kukuta Mtoto amelala kitandani, walimpa maziwa lakini yalikuwa hayapiti ndipo ikabainika amefariki.

Kwa mujibu wa taarifa za Majirani Goodluck alijifungia ndani na Mtoto wake na kumnyonga nyuma ya mlango kwa kutumia kamba ya viatu huku akirekodi tukio hilo kwa simu yake ya mkononi na baada ya hapo alimlaza kitandani na kupiga nae tena picha (Selfie) na kutokomea kusikojulikana na bado anatafutwa “Simu yake yenye picha na video aliiacha hapohapo nyumbani na kwa sasa ipo mikononi mwa Polisi”

Mtuhumiwa aliacha ujumbe uliosema “Chanzo cha mauaji haya ni ugomvi uliotokea kati yangu Mimi na Mke wangu mnamo October 6 , 2023 na Mimi naenda kujiua na nataka Mimi na Mwanangu tuzikwe Kijiji cha Itendulinyi”

Diwani wa Kata ya Mlandege, Jackson Chaula amesema Mtuhumiwa alikuwa anafanya kazi ya ubebaji mizigo katika magari lakini hakuwa na shida yeyot, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa Iringa Alfred Mwakalebela amekiri kupokea mwili huo na kusema mwili huo ulikuwa na makovu ya shingoni.. @AyoTV_ inaendelea na jitihada za kumpata RPC Iringa ili kupata taarifa zaidi kutoka Polisi.

View: https://www.instagram.com/p/Cy8Lj94ijls/?img_index=1
 
====

My Take
Jitu lenye laana kama hili likikamatwa lichomwe moto au kuuwawa Kwa kukata katwa vipande vipande Ili kukomesha mataahira kama Hawa.

Majitu kama haya sijui Huwa yanazaliwa Kupitia backwards au namga gani.Ugomvi wenu ndio hasira Kwa Watoto wasio husika? R.I.P mtoto.
 
Rest in Peace Angel,
Kabla ya kufunga ndoa ama kuzaa na mtu, kuwe na kigezo cha kupima akili, wengi wanaishi na vichaa.
 
Wanaume nyie ni mabogas kweli unaua mwanaume jeshi kama huyu ameshakula mengi hata kama sio wako, anakujua wewe . Nautakula mengi
 
Mkazi wa Mtaa wa Kota, Kata ya Mlandege Mkoani Iringa, Goodluck Mgovano aliyekadiriwa kuwa na umri wa miaka 33 anadaiwa kumuua Mtoto wake Alvini Mgovano mwenye umri wa miaka minne kwa kumnyonga na kamba ya viatu huku akijirekodi kwa simu yake ya mkononi wakati akimnyonga Mtoto na alipomaliza akapiga selfie na mwili wa Mtoto na kuacha ujumbe ulioelekeza wapi Mtoto huyo azikiwe.

@AyoTV_ imefika nyumbani kwa Familia ya Marehemu na kukuta hali ya simanzi kwa Ndugu na Majirani ambapo wamesema wakati Baba anamnyonga Mtoto, Mkewe hakuwepo nyumbani na aliporudi alipiga kelele ‘Mume wangu amempa Mtoto sumu’ ndipo Majirani waliingia ndani na kukuta Mtoto amelala kitandani, walimpa maziwa lakini yalikuwa hayapiti ndipo ikabainika amefariki.

Kwa mujibu wa taarifa za Majirani Goodluck alijifungia ndani na Mtoto wake na kumnyonga nyuma ya mlango kwa kutumia kamba ya viatu huku akirekodi tukio hilo kwa simu yake ya mkononi na baada ya hapo alimlaza kitandani na kupiga nae tena picha (Selfie) na kutokomea kusikojulikana na bado anatafutwa “Simu yake yenye picha na video aliiacha hapohapo nyumbani na kwa sasa ipo mikononi mwa Polisi”

Mtuhumiwa aliacha ujumbe uliosema “Chanzo cha mauaji haya ni ugomvi uliotokea kati yangu Mimi na Mke wangu mnamo October 6 , 2023 na Mimi naenda kujiua na nataka Mimi na Mwanangu tuzikwe Kijiji cha Itendulinyi”

Diwani wa Kata ya Mlandege, Jackson Chaula amesema Mtuhumiwa alikuwa anafanya kazi ya ubebaji mizigo katika magari lakini hakuwa na shida yeyot, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa Iringa Alfred Mwakalebela amekiri kupokea mwili huo na kusema mwili huo ulikuwa na makovu ya shingoni.. @AyoTV_ inaendelea na jitihada za kumpata RPC Iringa ili kupata taarifa zaidi kutoka Polisi.

View: https://www.instagram.com/p/Cy8Lj94ijls/?img_index=1

"Nitaanzisha sober house ya ndoa zenye migogoro ushauri nasaha utakaotolewa na out za wanandoa zitalipiwa na serikali ili kuponya mioyo yenye majeraha"mpangokazi wa mgombea urais 2040 naombeni kura zenu!!
 
Watu wa Iringa wana mambo ya ajabu ajabu sana na hovyo lakini hii ya huyu bwege imezidi.

Dogo amekosa nini, si angemnyonga mama yake ambae ndio wamegombana?

RIP Dogo.
 
Back
Top Bottom