Huyo Jamaa lazima ni mgonjwa! Na hospitali yao naskitika inapatikana mkoa mmoja tu! Dodoma tu!si uivae shingoni?
View attachment 45465
Wana wa Jamii haijapita hata wiki kabla hata mate yangu, hayajaanguka chini.
Nilishuka na Thread hapa iliyokua na headin' "HII NYUMBA INAKALIKA ? "
Ushauri niliokua nimeomba ni kumhusu Kaka yangu, alietaka nimshauri kua amepata offer toka kwa Baba mkwe wake kwamba ahame katika nyumba aliyokua amepanga na akaishi kwenye nyumba ya mkwewe pamoja na familia yake.
Kaka yangu akihofia huenda huko mbeleni angekumbana na manyanyaso ndiyo chanzo cha kunitaka ushauri.
Hapa jirani kuna bwa-mdogo ambae alikua ameajiriwa kwenye duka la kuuza simu, ambapo girl frnd wake alikua akimiliki duka la hardwire (duka alilorithi toka kwa marehemu babaake).
Bwa-mdogo akapiga (akaiba) kiasi cha fungu kwa muajiri wake kosa lililomsababishia afukuzwe kazi.
Next Bwa-mdogo akajichanganya dukani kwa girl wake na alichotoka nacho kule alikofukuzwa akakichanganya kwa girl frnd wake na wakawa wote wapo dukani.
Bwa-mdg hakuishia hapo akahama na ktk chumba chake na kuhamia kwa mususu (girl frnd).
Hivi majuzi wakiwa wote dukani simu ya girl ikawa inaita, girl akipokea akisema namnukuu "umepaki hapo kwa mbele haya nakuja" (mwisho nukuu na maneno haya ni kwa maelezo toka kwa bwa-mdg).
Girl alitoka hadi nyumba ya 3 kutoka dukani hapo.
Suzuki iliyokua imesimama akashuka mwanaume aliyekua amevalia kipedezshee walikumbatiana na ku'hug na girl.
Hayo yakifanyika bw-mdg kasimama nje ya duka akiona, kilichofata girl kurudi dukani bw mdg alipojaribu kuleta kidomodomo aliamriwa atoke eneo la duka mara moja au anamuitia polisi.
Bw- mdg alisalim amri na kuondoka girl alifunga duka na kuondoka, haijulikani kama ndiyo alimfuata yule jamaa au vipi.
Usiku bw-mdg aliporudi hom kw girl akakuta begi lake liko mlangoni nje.
Akaamua kabla hajachukua begi nakuondoka ni bora agonge amwambie girl amkatie M zake mbili alizozitia dukani, akaambiwa alete maandishi yake ya kuthibitisha suala hilo.
Maandishi ambayo bw mdg hakuanayo kwani hakutegemea kama hayo yangekujakujiri. Polepole akaanza kuchanganya kwato, begi begani mfukoni chwee na girl hanae tena!
AMA KWELI SAA YA UKUTANI HAIVALIKI MKONONI !

kabisa yan, no shortcut to success, haya ss kivulana cha watu kimeumbuka mmh.Ni angalizo kwa tupendao mteremko wa maisha
Baba - Baba Sirmudy hayo maeneo uliyoyata mziki wake balaa! Ni maeneo hatarishi, kuna sharo mtaani kwetu alikua aliiba pikipk mwenyewe akamsafiria Bagamoyo, jamaa amepigwa sio Busha! Sema M'busha unganisha jabulani 4 hata akikaa juu ya pikipk anakua juujuu kwa kulikalia shipa !Haiwezekani... kama haki yangu ipo lazima itajilipa katika njia moja au nyingine..., hakuna uthibitisho wa maandishi, hence mahakamani haitowezekana..., Bora tukose wote kwanza namuendea TANGA, nikishindwa BAGAMOYO, Nikishindwa PEMBA. NA Kama haitowezekana namalizia SUMBAWANGA......, Kama bado namalizia NIGERIA.. Mwisho wa ubishi...!