maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,293
- 5,554
Mimi sio narrator mzuri so mnisamehe ..ila hii habari niliiamini...!
Iko hivi kuna mtu tunaheshimiana nae sana tuseme ni rafiki ambae anajiheshimu sana wa zaidi ya miaka 20 tuko nae!
Sasa bwana yule akapata tatizo kubwa sana kazini...yupo kule kwa wale jamaa wa Long room najua mnapajua.... wakasimamishwa jamaa walikua kama wanne hv!
Wanachunguzwa wakipatikana na makosa kesi ianze....utawala ule mgumu! ndio wakachukuana wote hadi babu mmoja simtaji jina...ikawa routine wanaenda wanatibiwa wanarudi jamaa akawa ananipa story...!
Sasa siku moja wameenda ndio mzee anawaambia subirini naenda ile hospitali kubwa routine...lazma tupite wodini!
Kweli bana ikaja gari ya serikali kabisa na hapa jamaa hakuamini!
Mzee alivyorudi...ndio akawaambia jamaa sisi tuna ajira kabisa na wako wengi...akasema wakati mwingine hupita wao kwanza ndio wanapita madaktari hasa kwa wagonjwa ambao hawaeleweki....na wana ofisi yao kabisa!
Jamaa akamuuliza reason? Mzee akasema hopitali kubwa zina mambo mengi sana...kwa hiyo wao hupita ila hasa kuwakinga hawa madokta wa kawaida wasidhurike...!
Ile story ilinishangaza sana.ila nikasema ni posible ila huku chini nitawaeleza kwa nn nasema hivyo!
NB: Jamaa walirudishwa wote kazini ila nadhani ilikuja kushtukiwa baadae baada ya 4 years hv wamesambwazwa uswekeni wote yaani sijui nkasi yaani wote vijijini
Hii nnchi pana sana
MP.