Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
- Thread starter
- #81
Na wewe nikuanzishie sredi nini? hakyanani kila nikikuona nasahau besdei yangu
Hahhaha utajisababishia upendwe bure
Na wewe nikuanzishie sredi nini? hakyanani kila nikikuona nasahau besdei yangu
Wewe itabidi nikusemee
heheh kamanda hii sredi yako itaondoka na wengi tu, kipipi akikataa kwa hiyari kesho natia guu sumbawanga.Hahhaha utajisababishia upendwe bure
heheh kamanda hii sredi yako itaondoka na wengi tu, kipipi akikataa kwa hiyari kesho natia guu sumbawanga.
heheh kuna mganga anaitwa Mzee jehanamu, kulaleki! huyo hata ukimtaka halle berry ndani ya wiki anakupatia.Kipipi ninavyoona staki nataka ... Si unajua mapozi kwanza
heheh kuna mganga anaitwa Mzee jehanamu, kulaleki! huyo hata ukimtaka halle berry ndani ya wiki anakupatia.
hehehe mkuu haupati kontakt, utaongeza kompetishen , wewe endelea na mistari tu na kuanzisha sredi. atakuelewa tuHahahhahaha!!!! Kumbe una mambo mazuri ivi halafu upo kimya mkuu... Ngoja niku pm ... Naanza na aminata ... .H .... Etc
hehehe mkuu haupati kontakt, utaongeza kompetishen , wewe endelea na mistari tu na kuanzisha sredi. atakuelewa tu
Nipo short cut baab. Au mweke husninyo bussy baci,mi huku nafanya mambo
sijasoma hapo.
Mbona unamuumiza mwezako kwa masharti magumu kiasi hiki!!!!uwe na moyo wa huruma Aminata,mwenzako anaumia na unamuumiza zaidihahaaaaaaaaaa
lete bank statement zako zote uwe na account mbili dollars na pounds tu plzzzzzzz ctaki shilings mm
nipatie mm sasa iko vitabu vya bank
cna shida ya house yako wala mashamba wala mifugo yako wala ma cars yako .......mana cna mda na vitu ivo kabisaaaaaaaa
speechlessduh..!
thanks umerudi salamadahhh
kule kuna The Boss
hapa kuna mkuu St. Ivuga na Aminata..
itabidi nishike ndala mkononi
nsikose pila na kachumbari nyumba zote mbili..
Hongereni sana
basi umepotea ..nikaanza kujiuliza ...nani kakuweka ndani tena hakupi hata nafasi ya kutusabahiSalama Salimini....
we Hujambo ??
basi umepotea ..nikaanza kujiuliza ...nani kakuweka ndani tena hakupi hata nafasi ya kutusabahi
soon ..wewe unatakiwa usikose jamanihahahahahaah lol
Hayo ya ndani bado sana tena sana...
sasa kachumbari tunakula nini??