Aminata ..dah!

Mbona unamuumiza mwezako kwa masharti magumu kiasi hiki!!!!uwe na moyo wa huruma Aminata,mwenzako anaumia na unamuumiza zaidi
hahaaaaaaaaaaaa ndio ivo akitaka makuu sharti azurike na uzurikaji wake hapa ni majidolari na ma euros basi na hapo ndio ntamfikiria mana kwa kufanya ivo ndio itamfanya nimufikirie mapema zaidi kuliko angekuja peku
mzima lkn ww.....nimefurai kukuona hapa
 
Unayoyasema yanatoka moyoni. Mimi mwenzio namtafutia mtaji,
 
Back
Top Bottom