St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,637
- 4,522
- Thread starter
- #41
Hahahahhahah,hapa nimejikuta nacheka kwa hizo options tatu ulizonipa......
Hahahahaaaa King'asti mbona ni nshakula samaki hadi nimesaza?
We uko stesheni ipi? Ubungo au Tabata?
Mie mbona nipo shem langu. Kama ni kwa ajili ya sweetlady niagize tu, kama ni issue nyingine muambie yeye ndo aniagize. Unajua inabidi tusiwe karibu sana shem, shetani atatupiga mwerekaMkuu bado hujafika naomba ukifika niambie nikuagize kitu hapo mitaa ya makoroboi
Heheheeee hizo zinakufaa sana St. Paka MweusiHahahahhahah,hapa nimejikuta nacheka kwa hizo options tatu ulizonipa......
Waje niwape t-shirt
Erickb52 upo baba?? mzima wewe??