Aminaaaaaaa...?

Nashukuru sana st. Paka mweusi kwa kunisaidia kunipa dedication nzuri kwa mpenzi wangu Amyner
Nammiss sana honey wangu...leo atakuja kukusalimia!
Miss you so much mylove Amyner
Amyner2.jpg
Sura yako iko machoni mwangu kila wakati....come bby...
Amyner3.jpg
Ila ukija love achana na maneno ya mawifi na mashemeji kuwa nakusaliti....ni uongo kabisa coz we unajua nakupenda kwa kiwango gani...ni wewe uliye moyoni mwangu achana na akina Remmy na BADILI TABIA huwa wanatamani kupata nafasi yako!
Huo wimbo ni wako!
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana st. Paka mweusi kwa kunisaidia kunipa dedication nzuri kwa mpenzi wangu Amyner
Nammiss sana honey wangu...leo atakuja kukusalimia!
Miss you so much mylove Amyner
View attachment 65609
Sura yako iko machoni mwangu kila wakati....come bby...
View attachment 65610

Pamoja sana kaka msalimie sana shemeji yetu,
hilo dedication jana nimelisikiliza siku nzima nikaona si wema kufaidi peke yangu...
 
Nashukuru sana st. Paka mweusi kwa kunisaidia kunipa dedication nzuri kwa mpenzi wangu Amyner
Nammiss sana honey wangu...leo atakuja kukusalimia!
Miss you so much mylove Amyner
View attachment 65609
Sura yako iko machoni mwangu kila wakati....come bby...
View attachment 65610
Ila ukija love achana na maneno ya mawifi na mashemeji kuwa nakusaliti....ni uongo kabisa coz we unajua nakupenda kwa kiwango gani...ni wewe uliye moyoni mwangu achana na akina Remmy na BADILI TABIA huwa wanatamani kupata nafasi yako!
Huo wimbo ni wako!

Hongera kwa wimbo mzuuri! Kwa wimbo huu hata nyoka atatoka mwenyewe shimoni mwake.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana st. Paka mweusi kwa kunisaidia kunipa dedication nzuri kwa mpenzi wangu Amyner
Nammiss sana honey wangu...leo atakuja kukusalimia!
Miss you so much mylove Amyner
View attachment 65609
Sura yako iko machoni mwangu kila wakati....come bby...
View attachment 65610

Ila ukija love achana na maneno ya mawifi na mashemeji kuwa nakusaliti....ni uongo kabisa coz we unajua nakupenda kwa kiwango gani...ni wewe uliye moyoni mwangu achana na akina Remmy na BADILI TABIA huwa wanatamani kupata nafasi yako!
Huo wimbo ni wako!

Najua Amnery is above all. Nilishaachia ngazi ila nashangaa huishi kunitajataja, niache bana.
 
Last edited by a moderator:
Najua Amnery is above all. Nilishaachia ngazi ila nashangaa huishi kunitajataja, niache bana.
Jamani Remmy nimekimiss kiukweli....ntakucheck kwa kimchina badae eeeeh
Mzima?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom