Amina Moleli - TBC1

msituletee ma sharobaro kwenye siasa yaani mtu akishika ugonjwa wa mtu tayari awe mbunge, ubunge na huo ukoma aloshika unahusiana vipi, hapa ndo mnapokosea wabongo sympathy zenu ndo zinazowafanya mbaki naskini mpaka leo, mtu akija mtaani akiwapa ofa ya chipsi vumbi basi anafaa kuwa mbunge. km anashika wagonjwa bila kuogopa mpelekeni muhimbili akasomee u nesi ili aendelee kuwakirimu wagonjwa atawafaa zaidi

chimunguru unaweza ukaeleza hisia zako kwa uwazi?

Kipindi chake ni kizuri sana kwa maudhui na kuifikia jamii pia, just a minor observation, tonnation/lafudhi yake kama ya kuigiza flani, she doesnt sound natural. haipendezi sana kwa kutangazia habari.

Shida yangu ni huo ujasiri tunaosifia wa kumshika kwa mikono wenye ukoma, kwani vimelea vya ukoma vikikutana na broken skin anaweza kuambukizwa.

Ujasiri huu hauna tofauti na wa kumhudumia mgonjwa wa ukimwi bila gloves kama njia ya kuonesha upendo, ama kufanya ngono zembe kwa sababu mwanamke ni mzuri sana.

Kukumbatia maskini na kuwashika mikono ni kitu kizuri, lakini sio kwa ku-risk maambukizi.

2015 wakikutosa tena ubunge, ingia chama cha "V". Kiukweli unastahili wewe mdada, kuwa mbunge wa kuwatetea wasiojiweza na vilema

Kile kipindi chako cha ShAJARA,,,hasa paleulipomshika mwenye ukoma na mwenye vidonda vinavyotoa funza!! mimi hata nipewe mchumba sealed, afu bure, siwezi.

Kwanza huwa nafunga macho na hapo ni kwenye TV,,nikiona live nadhani naweza zimia kabisa, au kufa kwa njaa.

Big UP Dada.

chimunguru unaweza ukaeleza hisia zako kwa uwazi?

tatizo langu ni hii dhana kwamba ukifanya vizuri kwenye kitu flani basi zawadi yako ubunge. ina maana ubunge ndo sehemu ya kulipiana fadhila? siasa yahitaji ufahamu wa mambo mengi uthubutu wa mambo na kujituma. km mtu anafanya vizuri kwenye sekta yake basi awezeshwe zaidi hapo alipo kuliko kumhamishia kwenye politiki. mwisho wa siku tutakosa wataalamu coz kila mtu ataishia kupewa ubunge!

Amina mollel kiboko yule mdada, anajituma sana na ana uchungu saaña na walemavu, anajua wajibu wake na yupo tayari kwa lolote kwajili ya kutetea haki za walemavu.big up dada

2015 wakikutosa tena ubunge, ingia chama cha "V". Kiukweli unastahili wewe mdada, kuwa mbunge wa kuwatetea wasiojiweza na vilema

Kile kipindi chako cha ShAJARA,,,hasa paleulipomshika mwenye ukoma na mwenye vidonda vinavyotoa funza!! mimi hata nipewe mchumba sealed, afu bure, siwezi.

Kwanza huwa nafunga macho na hapo ni kwenye TV,,nikiona live nadhani naweza zimia kabisa, au kufa kwa njaa.

Big UP Dada.

Yaani apewe ubunge kwa kufanya majukumu yake vema au mi ndo sijaelewa??????
And if so kila anayefanya kazi kwa juhudi na maarifa apew ubunge???? Kaaaz kwelikweli

Mytake; Apewe wazo la kuanzisha NGO ili apate muda wa ku deal na the needy and desitutes kuliko kumpeleka bungeni tumkose mazimaaaaaaaaaa

Her duty out of studio is impressing........but in there......................?????????

Ni kweli anafanya kazi nzuri but my question is; ni lazima kila anayefanya kazi yake vizuri apewe ZAWADI ya ubunge???kwa style hiyo Bungeni cku co nyingi kutajaa wafanyakazi bora na co viongozi bora!!

Nampa big up anayeshauri asaidiwe kuanzisha NGO ubunge sio tija ni pepo ya mabwege. Ina mie mwalimu nikifundisha vizuri nizawadiwe ubunge? Halafu mbona 2nakuja kishabiki? Mara pendaeli, sijui Grace.....2stick kwenye thread. Pia ya mchumba yanakujaje?

Hapana bana unavyomfikiria tu lkn ukweli yule dada anajua majukumu yake sana,nampa big up sana

2015 wakikutosa tena ubunge, ingia chama cha "V". Kiukweli unastahili wewe mdada, kuwa mbunge wa kuwatetea wasiojiweza na vilema

Kile kipindi chako cha ShAJARA,,,hasa paleulipomshika mwenye ukoma na mwenye vidonda vinavyotoa funza!! mimi hata nipewe mchumba sealed, afu bure, siwezi.

Kwanza huwa nafunga macho na hapo ni kwenye TV,,nikiona live nadhani naweza zimia kabisa, au kufa kwa njaa.

Big UP Dada.

Dada kitendo hicho cha kutowanyanyapaa wagonjwa zawadi yako siyo ubunge bali ametoa picha mpya kwa hao madaktari na wauguzi ambao sasa hivi hufunga pua zao wakati wakiwahudumia wagonjwa eti uchafu, madonda yanatoa harufu nk. Zawadi ya huyu dada ni kuundiwa kitengo katika idara ya afya ya kukusanya kero zinazofanywa na wauguzi na madaktari kuhusiana na hilo, kitengo hiki kiwe chini ya shirika la UN ale vizuri alale vizuri. Ubunge hautoshi.

yule dada namkubali sana,nilishaomba uchumba swala limebakia dini,nani abadilishe mimi au yeye,da!

...Kindly Xplain Yourself Please!...Wewe ROSEMARIE Ukamtaka Uchumba AMINA MOLEL na inavyoelekea alikukubali ila tatizo likawa Dini tu...??? well, well, well...:confused2: :confused2:

Similar Discussions

Back
Top Bottom