Amina Moleli - TBC1

salama mufti!!! samahani bana...kuna mwingine alikuja anasema yule anyenyoa para sijui KINGARAME JOYCE eti naye mkali....mweeee hivi haya mambo yako hivi...
..Kila shetani na mbuyu wake mazee. Juzi kati kala shavu kwani hujasikia kashaolewa hata mwezi hana!
 
waukweli pendaeli omari peke yake wengine tupa kule.

anaku nanihii si tunajadili amina we unakuja na ishu ya pendael na uzi wake upo humu kachangie huko.amina jembe ni jiwe la pemben walilolikataa ipp.
 
Kumbe kuna watu huwa wanaangalia TBC!!! hakuna ninae mjua huko najua wote ni ccm tu. hameni, mbona TV stations za maana zipo nyingi tu?
 
yule dada namkubali sana,nilishaomba uchumba swala limebakia dini,nani abadilishe mimi au yeye,da!
Mbona jina lako ni la kike? Utaombaje uchumbwa kwa mwanamke mwenzako? By the way Amina ni mke wa mtu!
 
Anachagua headlines za kusoma,zinazohusu cdm anapiga chini anatumika!!!!!!!!!!!!!!!!
 
acheni fitna zenu nyinyi,mnakuwa wanafiki nyinyi kwa kusema ya uongo na kumkisia umri wa kuishi,semeni ya ukweli basi
 
Kumbe kuna watu huwa wanaangalia TBC!!! hakuna ninae mjua huko najua wote ni ccm tu. hameni, mbona TV stations za maana zipo nyingi tu?

sasa we punda unalazimisha watu kuangalia tv za chadema mnazo?
 
TBC sasa matangazo ya biashara basi...
Ina vipindi vingi vya historia,tamthilia,bongo fleva,kifupi vipindi visivyovutia,na makala na habari zilizoandaliwa kumpa mwelekeo mtazamaji wa wanachokitaka ama wanachokiona ni sawa kwao..
By the way big up AM...
 
Kingalame kaolewa?yule muone kwenye tv tu!Live hutaamini!kweli Tv zinaficha mengi.....!!cowbery zile...kwel shetani na mbuyu wake
 
Mnatuletea habari ya tbc?kutwa kucha ni kikwete tu.amina ni dada wa jamaayangu anaitwa moleli lakini nasikitika sijawahi kuona namna ya utangazaji wake hiyo nisababu yuko tbc siwezi poteza muda wangu kuangalia tbcccm japo inajiendesha kwa kodi zetu hawa sio wabunifu wamekaa ki tvt tvt tu hawana jipya msinisababishie kichefuchefu
 
Inaelekea amekaa muda mrefu bila kuolewa kwani alitokwa na machozi kwenye sendoff yake.ila kiukweli dada ni jembe la ukweli.
hakutokwa na machozi kwajili ya kuolewa isipokuwa alitokwa machozi ya furaha baada ya wenzake kumpatia zawadi ambayo hakuitegemea
 
Kumbe kuna watu huwa wanaangalia TBC!!! hakuna ninae mjua huko najua wote ni ccm tu. hameni, mbona TV stations za maana zipo nyingi tu?

yaani watu wengine bana,wakipenda kitu km wagonjwa wasiojielewa,we ulitaka TBC waangalie wanyama?huo ni ujahil wewe,angalia unachokipenda wewe na waache wenzako waangalie wanayoyapenda wao,usiwe mkosefu wa akili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom