Amina Moleli - TBC1

kama ndo hivyo ana muda mfupi wa kuishi duniani, kumbe mnafiki hivyo![/QUOTE


wacha kumtabiria mwenzako mauti wewe,kwani wewe unajua utaishi hd lini?mdada yupo juu km mnakereka poleni lkn jamaa juuuu na mtamwita majina mengi tu lkn yanamuendea
 
Acha kujipakazia wewe,alikutaka wapi muongo wewe jamaa ana shefa lake katulia anakula life tu we baki kusema uongo tu.
 
...Kindly Xplain Yourself Please!...Wewe ROSEMARIE Ukamtaka Uchumba AMINA MOLEL na inavyoelekea alikukubali ila tatizo likawa Dini tu...??? well, well, well...:confused2: :confused2:

Mkuu angalia bandiko namba 10 na11 Kuna rosemarie na mtorii .
 
Ukweli huyu dada ni mtendaji mzuri na anajituma sana,hana fitna lazini
 
Mnafik huyo anajipakazia tu hana mpya huyo amina mwaka wa ngapi alikuwa na mchumba wake ambae kwa sasa ndie mumewe wa ndoa kabisa,huko ni kujipakazia tu.
 
Itatusaidia nini kumponda kama kazi anayoifanya imeonekana na jamii?
 
Tuwekee picha yake
AMINA 1.jpg amina2.jpg amina3.jpg
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, kama binadamu mwenzio anafanya kitu kizuri msifie na umpe hongera kwa kazi hiyo, hata kama yupo sehemu ambayo wewe huitaki. Big up Amina. Mwaaaa!!!
 
Ok tushamuona ondoa picha zake basi sio vyema kusisambaza hvyo wakati sasa ni mke wa mtu na anajiheshimu sana.ila alipendeza sana na mungu awajaalie watoto
 
Jamani zitoeni basi ni mke wa mtu anaejiheshimu sio vyema kumuanika hv bana,heshimuni utu wake toeni hizo picha zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom