Ameniweka katika njia panda(dilemma)

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Habari za mwaka mpya ndugu zangu!!
Ushauri wenu ni muhimu sana katika hili suala langu. Mimi ni mtumishi wa umma katika ofisi fulani. Hapa ofisini kuna jamaa mmoja(hapa nimuite X) ambaye ni wa kabila langu na the way tunavyo heshimiana amekuwa ni kama ndugu yangu. Vile vile kuna mdada mmoja ambaye mimi na yeye(huyo dada) mwanzoni tulikuwa tunaheshimiana kama kaka na dada, lakini siku zilivyozidi kupita ikatokea tukaanzisha mahusiano ya kimapenzi(ingawa honestly, mpaka sasa hatujawahi kufanya sex na huyo dada). Kuna siku tulipanga tukutane kwa ajili ya sex, sijui ni bahati nzuri au ni bahati mbaya nikapata safari ya kwenda Dar hivyo tukaahirisha. Tukapanga tena bahati mbaya au nzuri akaja bosi wetu kutoka makao makuu, tukawa bize kupita maelezo hivyo tena tukaahirisha.

Jana tukaenda nae(huyo mdada) lunch, wakati tukiwa lunch akanieleza kuwa kuna kitu anataka kuniambia. Nilipomruhusu aniambie akasema kuwa ataniambia siku tutakapo sex kwa mara ya kwanza. Nilipomsihi anieleze hicho kitu, akaniambia kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na huyo jamaa yangu (X).

Naombeni ushauri juu ya hili, nimuache huyo mdada au niendelee nae(maana uhusiano wetu umefika mbali sana). na ninahofu iwapo tutaendelea na mpango wetu X akibaini urafiki wetu ambao mimi ninau-value sana utakufa.

UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE??
 
Kama upo tayari kupoteza muda na ku-share K...haina neno endelea!! Ni wewe tu na nafsi yako inavyokutuma...Ila sidhani kama ni pakuweka makazi yakudumu hapo.
 
kama kakwambia ukweli na wewe bado hauja du nae kwanini unataka kujiingiza kwenye matatizo na huyo kaka mnayeheshimiana.
 
Najua hili suala ni serious, ila kama bado unamtamani kwa maana ya kusex nae ni bora uka-Hit and Run. Ila angalia huyo jamaa X asijue.
 
​kusoma hujui hata picha tu?hili nalo la kuja hadi JF kuomba ushauri?come oooooon u grown up br.
 
huyo demu waukweli ....sasa huyo naona ahe wants frendz with benefits. my advise...kula utamu kaka ila jua kabisa mapenzi hapo hamna
 
wee mambo ya kushare yasikutie presha dunia hii utashare tuu k...leo kesho au keshokutwa...sasa wewe pata utamu ila jua kuwa its just fun btwin the sheets basi...no mapenzi. huyo anataka gud tym tuu...so mpe
 
"friends wit benefits" huh...... hahaha.
 
Habari za mwaka mpya ndugu zangu!!
Ushauri wenu ni muhimu sana katika hili suala langu. Mimi ni mtumishi wa umma katika ofisi fulani. Hapa ofisini kuna jamaa mmoja(hapa nimuite X) ambaye ni wa kabila langu na the way tunavyo heshimiana amekuwa ni kama ndugu yangu. Vile vile kuna mdada mmoja ambaye mimi na yeye(huyo dada) mwanzoni tulikuwa tunaheshimiana kama kaka na dada, lakini siku zilivyozidi kupita ikatokea tukaanzisha mahusiano ya kimapenzi(ingawa honestly, mpaka sasa hatujawahi kufanya sex na huyo dada). Kuna siku tulipanga tukutane kwa ajili ya sex, sijui ni bahati nzuri au ni bahati mbaya nikapata safari ya kwenda Dar hivyo tukaahirisha. Tukapanga tena bahati mbaya au nzuri akaja bosi wetu kutoka makao makuu, tukawa bize kupita maelezo hivyo tena tukaahirisha.

Jana tukaenda nae(huyo mdada) lunch, wakati tukiwa lunch akanieleza kuwa kuna kitu anataka kuniambia. Nilipomruhusu aniambie akasema kuwa ataniambia siku tutakapo sex kwa mara ya kwanza. Nilipomsihi anieleze hicho kitu, akaniambia kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na huyo jamaa yangu (X).

Naombeni ushauri juu ya hili, nimuache huyo mdada au niendelee nae(maana uhusiano wetu umefika mbali sana). na ninahofu iwapo tutaendelea na mpango wetu X akibaini urafiki wetu ambao mimi ninau-value sana utakufa.

UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE??

Huyo anataka kuwachuna wote wawili; kama vipi pigeni threesome
 
Inaonekana kabisa uhusiano wenu umekaa kingonongono,achana na suala la kufanya nae ngono na muwe tu marafiki wa kawaida kwani itaepusha mambo mengi ambayo baadae utakuja jutia.
 
Pole sana mbavu za mbwa,

Nakushauri usisex nae tena huyo demu kwani waweza kubambwa na rafikiyo halafu itakuwa mbaya zaidi "waweza gombana na rafikiyo".
Endelea tu kuwa rafiki wa kawaida tu na pia jaribu kumuepuka sababu ushafamu ukweli anatembea na rafikiyo kipenzi.
Kaa chini uendelee kutafuta mwanamke atakayefaa kuwa mkeo mtarajiwa. Utapata tu.
 
ingekua mm ningemuacha tena fasta bila hata kupoteza wakati...........alafu huyo dada naye kiazi atadatije watu wawili marafiki mweh!
pili inawezekana kosa ni lako ww kumchelewesha kumpa mwenzio tundi (hayo ndio matokeo yake kaachia kwa rafiki yako) hakuna uabaya mana wahenga husema kizuri kula na nduguyo .........munaweza kuendelea tu
 
hivi kwanini karne hii wadada hawathamini miili yao?yaani mtu yupo willing kugawa kirahiiiiiiiisi...anyway its an advantage to us voltures...kaka tafuna halafu potea fasta..usijenge kibanda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom