Kitu gani cha ajabu umeshawahi kufanya kwajili ya mapenzi?

Erick MR

Member
Nov 11, 2022
77
152
Jana nilikua namsikiliza dada mmoja maarufu kwenye kipindi kimoja akielezea mkasa uliomkuta baada ya kumsaidia mpenzi wake ambaye alikua hana kazi wala pakukaa, kwakua yule dada alikua ameajiriwa na anapokea mshahara mzuri akamchukua akawa anashi naye kwake na kumhudumia kwa Kila kitu hadi shopping (nacheka kama mazuri).

Ikapita miezi siku bwana yule akamfuata mpenzi wake ambaye ni huyo dada akamwambia anashida anomba amsaidie kiasi cha Pesa kama milioni hivi Ili atatue hiyo shida kisha angemrudishia kiasi kile lakini yule dada akamwambia kwamba bado mshahara haujaingia hivyo asingeweza kuwa na kiasi hicho kwa muda ule.

Mapenzi yana nguvu bhana jamaa akambembeleza yule dada akope kisha ampatie atatue shida yake kisha mshahara ukiingia atalipa alipo kopa yule mdada akakopa Kweli akampatia jamaa lakini cha ajabu siku zikawa zinaenda jamaa harejeshi akawa anampiga kiswahili tu na yule mdada anasumbuliwa na kampuni ya mkopo (kausha damu ) kwenye riba.

Baada ya muda kupita ikatokea bahati kwa yule jamaa akapata kazi serekalini yule mdada akajua labda ndo ingekua mwisho wa matatizo lakini chajabu zaidi mchizi hakulipa lile deni akawa anafanya matanuzi na Pesa zake Kuna kipindi simu zikawa haziiti kabisa.

Masikini yule dada baada ya riba kuwa kubwa na kampuni kumtisha tisha kwamba watapiga mnada vitu vyake kwa kwepa aibu kwasababu yeye ni maarufu aliamua kuuza Kila kitu chake cha ndani alichoanza nacho maisha nakulipa lile deni.

Je wewe mwana jamii mwenzangu ni kipi umeshawahi kufanya cha ajabu kwajili ya mapenzi na huwezi kukisahau kabisa?

images%20(96).jpg
 
Nlidate mzungu nikaachana nae akanizoesha standard ya maisha naflex tu. Nkitaka kwenda popote nakwenda kwa mwewe, yani nikiwa na M najiona niko broke. Nikaja date mpare 🙌🏾🙌🏾 Nikimwambia nakuja Dar na ndege alichanganyikiwa akaniambia babe panda Mbazi 🤣 nikapanda. Nlifikia hadi kupanda pikipiki kwaajili yake. Sitaki kukumbuka ule ujinga kwa kweli 😏😏 Kuna saa mapenzi ni shit kalikiti
 
Jana nilikua namsikiliza dada mmoja maarufu kwenye kipindi kimoja akielezea mkasa uliomkuta baada ya kumsaidia mpenzi wake ambaye alikua hana kazi wala pakukaa, kwakua yule dada alikua ameajiriwa na anapokea mshahara mzuri akamchukua akawa anashi naye kwake na kumhudumia kwa Kila kitu hadi shopping (nacheka kama mazuri).

Ikapita miezi siku bwana yule akamfuata mpenzi wake ambaye ni huyo dada akamwambia anashida anomba amsaidie kiasi cha Pesa kama milioni hivi Ili atatue hiyo shida kisha angemrudishia kiasi kile lakini yule dada akamwambia kwamba bado mshahara haujaingia hivyo asingeweza kuwa na kiasi hicho kwa muda ule.

Mapenzi yana nguvu bhana jamaa akambembeleza yule dada akope kisha ampatie atatue shida yake kisha mshahara ukiingia atalipa alipo kopa yule mdada akakopa Kweli akampatia jamaa lakini cha ajabu siku zikawa zinaenda jamaa harejeshi akawa anampiga kiswahili tu na yule mdada anasumbuliwa na kampuni ya mkopo (kausha damu ) kwenye riba.

Baada ya muda kupita ikatokea bahati kwa yule jamaa akapata kazi serekalini yule mdada akajua labda ndo ingekua mwisho wa matatizo lakini chajabu zaidi mchizi hakulipa lile deni akawa anafanya matanuzi na Pesa zake Kuna kipindi simu zikawa haziiti kabisa.

Masikini yule dada baada ya riba kuwa kubwa na kampuni kumtisha tisha kwamba watapiga mnada vitu vyake kwa kwepa aibu kwasababu yeye ni maarufu aliamua kuuza Kila kitu chake cha ndani alichoanza nacho maisha nakulipa lile deni.

Je wewe mwana jamii mwenzangu ni kipi umeshawahi kufanya cha ajabu kwajili ya mapenzi na huwezi kukisahau kabisa?

View attachment 2705052
Mbona hiki siyo cha ajabu broo

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Huyo dada ni Pickmeisha au Barbara the builder. Kama hamjui ni nn mkagoogle. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom