Eti hapa nilikosea nini?

Kichuchunge

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
338
891
Nilikuwa kwenye mahusiano na mdada hivi mtu mzima, kwa miaka kama mitatu. Alikuwa anafanya biashara ya kuuza vilevi. Hiyo biashara ni ya kwake binafsi. Sasa katika mahusiano yetu japo kuna wakati alini cheat nikamgundua, lakini aliniomba msamaha sana yakaisha. Akawa kama amejirudi flani hivi hadi nikaanza kushawishika kama vile kutaka kumpa sapoti kwenye wa biashara yake.

Nikaanza kumuongezea mtaji kidogo kidogo kisha nikaanza kumnunulia vitu vya kuboresha ile sehemu ya biashara yake ili papendeze zaidi (decorations). Palivyoanza kuvutia, wateja wakaanza kujaa kumbe miongongoni mwao mmoja akamshawishi, wakaingia kwenye mahusiano kimya kimya bila mimi kujua kwa kuwa mara nyingi nilikuwa bize sana. Siku nilipokuja kugundua akaingiwa na hofu sana, akadhani nitakuja kumdhuru hivyo akaomba ili awe salama, uhusiano wetu uishie hapo.

Sikuwa na kinyongo, nilimkubalia ila tu nikampa sharti moja tu kwamba anipe vitu vyangu vyote (decorations na viti na meza mpya nilizokuwa nimemnunulia pale kwenye biashara) vilivyokuwa vimechangia kupaboresha pale sehemu ili akibaki, abaki kama nilivyokuwa nimemkuta. Na huyo mtu wake mpya aliyekuwa amempata aweze kumboreshea kama anampenda. Kwa kweli nilivichukua, kasoro pesa ya mtaji niliyokuwa nimemuongezea ndio sikuidai tu, ila cha ajabu huyo mdada akawaka sana, akamsimulia kila mtu kwamba mimi ni mshamba, iweje nimfanyie kitu halafu nimnyang'anye? Binafsi ningeweza kumuachia, isipokuwa roho ikaniuma sana na kunifanya nijiulize kwamba uboreshaji wangu wa pale sehemu kwa pesa zangu mwenyewe ndio umesababisha hayo yote kwa hiyo niondoke tu hivi hivi na kumuachia aendelee kutanua huku mimi nikikung'uta makalio na yeye akiendelea kupigwa 'pipe' na mtu mwingine? Kosa langu hapo ni nini? Kuchukua mali zangu?
 
wewe ni mshamba...na maeneo hayo huwezi tena kupata demu labda ukanunue malaya
 
Kama ulimpa kwa Upendo na kama kweli wewe ni mwanaume, na sio mvulana, huna sababu ya kuvichukua. Kwa hiyo hivyo vitu ni hongo ya mahusiano au msaada?
 
Tulikuwa na plani ya kujiendeleza pamoja ili tuwe vizuri, sasa mwenzangu kumbe alikuwa na yake. Kama ni hongo ya kawaida nishampa sana. Hapa nazungumzia vitu vilivyokuja kumpa kiburi.
 
Nilikuwa kwenye mahusiano na mdada hivi mtu mzima, kwa miaka kama mitatu. Alikuwa anafanya biashara ya kuuza vilevi. Hiyo biashara ni ya kwake binafsi. Sasa katika mahusiano yetu japo kuna wakati alini cheat nikamgundua, lakini aliniomba msamaha sana yakaisha. Akawa kama amejirudi flani hivi hadi nikaanza kushawishika kama vile kutaka kumpa sapoti kwenye wa biashara yake.

Nikaanza kumuongezea mtaji kidogo kidogo kisha nikaanza kumnunulia vitu vya kuboresha ile sehemu ya biashara yake ili papendeze zaidi (decorations). Palivyoanza kuvutia, wateja wakaanza kujaa kumbe miongongoni mwao mmoja akamshawishi, wakaingia kwenye mahusiano kimya kimya bila mimi kujua kwa kuwa mara nyingi nilikuwa bize sana. Siku nilipokuja kugundua akaingiwa na hofu sana, akadhani nitakuja kumdhuru hivyo akaomba ili awe salama, uhusiano wetu uishie hapo.

Sikuwa na kinyongo, nilimkubalia ila tu nikampa sharti moja tu kwamba anipe vitu vyangu vyote (decorations na viti na meza mpya nilizokuwa nimemnunulia pale kwenye biashara) vilivyokuwa vimechangia kupaboresha pale sehemu ili akibaki, abaki kama nilivyokuwa nimemkuta. Na huyo mtu wake mpya aliyekuwa amempata aweze kumboreshea kama anampenda. Kwa kweli nilivichukua, kasoro pesa ya mtaji niliyokuwa nimemuongezea ndio sikuidai tu, ila cha ajabu huyo mdada akawaka sana, akamsimulia kila mtu kwamba mimi ni mshamba, iweje nimfanyie kitu halafu nimnyang'anye? Binafsi ningeweza kumuachia, isipokuwa roho ikaniuma sana na kunifanya nijiulize kwamba uboreshaji wangu wa pale sehemu kwa pesa zangu mwenyewe ndio umesababisha hayo yote kwa hiyo niondoke tu hivi hivi na kumuachia aendelee kutanua huku mimi nikikung'uta makalio na yeye akiendelea kupigwa 'pipe' na mtu mwingine? Kosa langu hapo ni nini? Kuchukua mali zangu?
Kwahyo alinyanduliwa ukajua alafu ukajipendekeza kutanua biashara yake. Mazuzu hamuishagi asee. Alafu ukishatoa hutakiwi kuchukua kamabunajijua ni wahivyo usiwe unatoa mali zako.
 
Back
Top Bottom