Amemkuta mpenzi kona na mtu mwingine……………!

:hatari:njia ya haraka na ya uhakika ni kumtwangia simu, akikudanganya we nenda kaketi meza ya jirani na yeye ambapo lazma akuone ila usimsemeshe lolote,


Hilo umetudanganya,kuketi pembeni yanini huku heartbeat zinasoma 170/120?...............Hacha Hizo.
 
:hatari:njia ya haraka na ya uhakika ni kumtwangia simu, akikudanganya we nenda kaketi meza ya jirani na yeye ambapo lazma akuone ila usimsemeshe lolote,


Hilo umetudanganya,kuketi pembeni yanini huku heartbeat zinasoma 170/120?...............Hacha Hizo.

Hata mimi nilikuwa nayatilia mashaka maelezo hayo...........................
 
:hatari:njia ya haraka na ya uhakika ni kumtwangia simu, akikudanganya we nenda kaketi meza ya jirani na yeye ambapo lazma akuone ila usimsemeshe lolote, Hilo umetudanganya,kuketi pembeni yanini huku heartbeat zinasoma 170/120?...............Hacha Hizo.
unatakiwa ume jasiri usubiri uone atafanyaje baada ya kukudanganya na ghafla akashtukia uko jirani na yeye, kwanini umuulize wakati tayari keshakudanganya ni wakati wake wa kujieleleza
 
Nitajitahidi sana asinione kisha napotea hilo eneo kwa haraka sana asijefikiria kuwa namfwatilia fwatili mambo yake. unajua mimi naamini ni ngumu sana kumchunga mwanadamu na mwanadamu akishaamua kufanya jambo lake ni ngumu sana kumzuia. na kwa idadi kubwa ya wanawake wakishahisi kuwa unawafwatilia wanakudharau kuwa hujiamini na kama unagawa dozi ya kutosha nyumbani huna haja ya kubabaika.
Nilimwacha mke wangu huru na alikuwa akifanya kazi ambazo wakati mwingine ilimlazimu kukaa eneo la shughuli mpaka saa 6-8 usiku na alikuwa akimali kazi yake anajichukulia taxi au siku kaenda na gari atarudi nyumbani nitamfungulia mlango na mabusu kibao, ilifika wakati mama yake mzazi alimwambi hivi kweli huyo mwanaume anaweza kuvumilia, na kuna wakati mashoga zake wakamwambia kuwa simpendi lakini maupendo niliyokuwa nampa alikuwa anajua, siku hizi kaupendo kamepungua pungua kidogo na simwamini kama zamani ila simfwatili kabisa kwenye ishu zake naamini anahitaji privacy kama vile na mimi ninavyohitji kwani ni mwanadamu.
na ukiendekeza sana hii makitu kila siku utakuwa unafumania najaribu kujiweka huru na kufikiri vizuri wakati wote usitangulize kumfikiria vibaya mpenzi wako jaribu kumwaziam mema wakati wote hata ukikuta kakumbatiwa anapigwa mabusu jaribu kufikiria kuwa alikuwa akisalimiwa kwa upendo wa kristu. unajua kwenye mapenzi kuna wakati unatakiwa uwe ***** unatembea kama kondoo namna hii.
hapo utakuwa na amani.


CHUNGU LAKINI DAWA
 
Kuna dada flan alikuwa GF wa jamaa yangu anajuta mpaka sa'iv hajaolewa for the same situation. Without notice jamaa alikua anakatiza mitaa ya Mwenge kwenye pilika zake, ghafla akamwona GF wake yupo na mdingi flan wanagonga cheers huku stori imenoga. Bahati mbaya jirani na hapo mahali kuna Lodge. Jamaa akampigia GF wake simu akamuuliza "uko wapi?" Dem akajib yupo home then akakata sim na kuizima.
.
Jamaa alianza kumchunia mpaka baadae dem akauliza kulikoni?
Mshkj akampa "mkanda mzima" na ndio ikawa siku rasmi ya kubreak up.
 
kwanini nikaushe?napiga simu kuuliza yu wap akidanganya tu kajiroga,naenda hadi pale najikalisha,nawasalimu.Nauliza,Baby si ulinambia upo nyumban hapa ndo nyumban.niliemkuta nae sitojihangaisha hata kumuuliza ye ni nan.nitadeal na huyu huyu wangu
 
what if wanaongea ndio ila ni katika shughuli za kikazi? mana kuongea kikaz hakuna maana kuwa wataweka ndita usoni... kama ni mimi nitapita karibu na meza yao na kuwapa hi, na kumwambia mwenzangu kuna jambo nimelifuata hapo, nitaangalia reaction ya uso wake maana amini uso huongea kama mtu anacheat.. mengine tutazungumza hom...
 
refer tabia za mkeo kabla hamjaoana, mlipooana na baada ya kuoana ni mtu wa tabia gaani? then utapata majibu, si kila walipo mwanaume na mwanamke wanatongozana na hata akitongozwa si lazima akubali, so kama ni changanyikeni ujue umeliwa otherwise it can be normal situation. (si unajua historia hujirudia!)
 
Nazimia,wanaita ambulensi.

Ukizinduka utakuta jamaa keshaweka mizigo yake na kesha colonize Uterus najua utamsusa binti kwa muda baada ya wik kadhaa ukikutana nae mara kichefuchef mara kutapika ndo keshakuwa mpangaji mpaka miez 9!!
 
Back
Top Bottom