Amemkuta mpenzi kona na mtu mwingine……………!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
A-couple-enjoys-a-romantic-moment-at-Mama-Africa-Restaurant..jpg


Picha haihusiani na habari hii................

Hebu tuchukulie kwamba, uko kwenye mizunguko yako mahali fulani kwenye mji unamoishi. Mara unamwona mumeo au mkeo, au inawezekana ni mpenzi wako akiwa amekaa na mwanamke au mwanaume mwingine mahali kwenye Mghahawa wanakunywa au kula chakula huku wakiongea kwa bashasha. Huyu mwanaume mwingine au mwanamke humjui.

Je ungefanya kitu gani?
 
bana kwenye strategic angle then mpigie call muulize yuko wapi, yuko na nani na anafanya nini... cheki majibu na reaction yake; kama kadanganya, mzukie umuumbue
We kweli kiboko...........................!
 
Mutambuzi....tatizo hapo ni kupima wenzetu kwa vipimo vyetu nikimaanisha ya kuwa ukimfikiria mwenzio atakuwa kwenye matanuzi basi yamaanisha ya kuwa wewe ungelikuwa kwenye mazingira hayo ungelikuwa kwenye matanuzi ya ziada. It is all in you and not them....................We are what we think........
 
bana kwenye strategic angle then mpigie call muulize yuko wapi, yuko na nani na anafanya nini... cheki majibu na reaction yake; kama kadanganya, mzukie umuumbue

kwa khali hii utaishia kupata kifaduro na kihoro cha papo kwa hapo. Mikakati ya kumfuatilia mtu ujue hailipi kamwe....huwezi kumchunga mwanadamu kama kondoo.........
 
It all about trust,if you don't trust your partner you will end up getting dozens of questions out of one answer...trust.
 
Just hi and leave! mwenyewe atajishtukia kama alikuwa anacheat au lah kama ni friend wa kawaida atakuja kukupa maelezo baadae.
 
njia ya haraka na ya uhakika ni kumtwangia simu, akikudanganya we nenda kaketi meza ya jirani na yeye ambapo lazma akuone ila usimsemeshe lolote,
 
Nawapungia mkono ...
Then nakata zangu kona..
Ila watu wanavyojua kujitetea
ataanza ooh huyu ni mtoto wa nyanya yangu nilikutana nae ghafla tukaona tupate vinywaji kidogo
 
Back
Top Bottom