Ameathiriwa na malezi ya utotoni?

Mkuu unahaki ya kuumia mtu mda wote kimya kama kafiwa.
Jaribu kuwa karibu zaidi na ikibidi kuwa mwema kupitiliza mtoe aut mkiwa na marafiki hasa hasa wale anaowakubari yeye.

Nisikufiche mkuu, mbona tushajaribu sana hata wale wakupandikiza lakini wapi.!
Nahisi kama inakuja hali ya kuanza kumuogopa
flani hivi....
Yale macho ,yana kitu nyuma ana tizama flani kama anakuhurumia au kasikia unakaribia kufa!
 
Mambo ya mabinti kuwa abused na baba zao yapo kwa wingi sana.

Mimi nina mdogo wangu wa kike (mtoto wa baba mdogo). Sasa baba mdogo akaja kufariki, wakati huo, huyo binti ana miaka kama 10 hivi.

Sasa baada ya hapo mwenendo wake wa shule haukuwa mzuri sana. Binti akawa hataki kusoma, yeye ni mapenzi na mabwana kwa kwenda mbele.

Mzee wangu akaingilia kata kutaka kujua kwa nini hali hipo hivyo.

Baadae huyo binti akaja ku confess kuwa alikuwa anafanya mapenzi na baba mdogo tokea akiwa na miaka 6.

Mungu saidia isiwe hivyo tutakufa kihoro ..
 
Msaidie kutembelea nyumba za ibada haswa semina za neno la Mungu ipo siku atapona katika hilo sononeko lake

Unadhani sononi la nini..?
Kuchapwa ni kawaida mbona kwa mtoto!
Mzee hakuwa mkorofi ,sijui tu labda nini mkuu
ndo hapo tunashindwa kumuelewa ,miaka mitano ndo nongwa iwe mpaka leo?
 
Huyo baba yake hakumuabuse kweli??? Sorry labda alimbaka au kum-abuse sexually kwa namna yoyote na fimbo akampiga....

Au mtu /watoto walimuabuse na baba hakumsikiliza na kumchapa

Kuna tatizo mahali

Si angesema kwa mama,lakini kanyamaza mpaka leo au alikosa bila kujijua sasa kuchapwa kaona kaonewa?
 
ni vigumu sana kuamini kama mtoto tabia yake ilichange ndani ya siku moja tena zaidi ya miaka 25 iliyopita bila kuusisha kunyanyaswa kingono/kisaikolojia but ni vigumu zaidi kuhamini maana baba yake mzazi ndiye aliyehusika kumchapa

sitaki kuhamini icho nilichokiandika juu ila ninachoamini dada yako ni MBINAFSI na hayo ndio maisha aliyochagua yanayompa raha
she is matured enough to decide what is good and what is bad for her..ni kwamba mmechelewa sana

Kweli?
Tumechelewa kivipi mkuu..
 
mambo yanayomtokea mtoto wa miaka 6 kurudi chini hayafutiki na ndo yanayojenga msingi wa hisia, hata kama yeye hakumbuki lakini ubongo ulishaandika. huyo alifanyiwa unyama na mtu aliyemwamini (si lazima baba mzazi) halafu baba akamchapa ili asiseme pengine kuhofia aibu. kuna kesi ya binti aliyenajisiwa akiwa na miaka 7 na "baba mchungaji" aliyekuwa rafiki wa kuheshimika kwenye familia. Wazazi wakaona wakae kimya ili kukwepa aibu na kumsitiri baba mchungaji. Binti ameishi na maumivu ya moyo mpaka alipofikisha miaka ya 30 akaamua kuvunja ukimya ili apone.

Tulishawahi kuchangia uzi kama huu hapa nikashea kisa kingine cha dada aliyeko kwenye ndoa (mbongo aliyeolewa na mghaibu) ghafla hataki kushiriki tendo la ndoa na mume. Mume kavumilia, baadae akataka talaka. Katika kujaribu kuokoa ndoa ndo wakashauriwa kwenda kwa mshauri wa ndoa na hatimaye kwa mtaalamu wa saikolojia. Kufika kule ndo dada akafunguka kuwa kumbukumbu za kulawitiwa na kaka yake - mtoto wa baba mdogo aliyekuwa akilelewa kwao zimemzukia na zinamsumbua, hivyo anamuona mumewe kama yule kaka. Huyu kaka wa baba mdogo alikuwa akimlawiti kwa kuhofia angemtoa bikira hivyo kugundulika kirahisi.

Ilibidi wazazi wa dada wataarifiwe kilichokuwa kinaendelea huko ughaibuni na mume akashusha lawama nzito kwa wazazi kuwa walikuwa wazembe na akagoma kulipia gharama za therapy na kutupia huo mzigo wazazi. Wakati huo wazazi tayari ni wazee sana na yule kaka mlawiti ni mume na baba wa watoto watatu. Mama mzazi alipata mshtuko wa kukaribia mauti na hali ilipotengamaa kaka mlawiti na ndugu wa karibu wakaitwa kwenye kikao jipu likapasuliwa na kaka mlawiti akakiri kweli alifanya hicho kitendo mara kadhaa alipokuwa akiishi kwa baba yake mdogo. Iliamuliwa agharamie matibabu kule ughaibuni hivyo akalazimika kuuza mali zake (gari na viwanja) ili kupata hela na ndoa ikaingia matatani.

Tusiwaamini sana watu waliowazunguka watoto wetu wa kike na wa kiume, kwa hiyo tuzungumze na watoto wetu mara kwa mara kuhusu hizo hatari ili hata yakiwakuta na kutishiwa wawe huru kusema. Ukiona mtoto kabadilika tabia usikimbilie kuhukumu kuwa anaanza kiburi sijui nini. Kuwa mpole, fatilia.
 
Hiko ni kiburi hata mimi nadhani nna tabia kama yake. Mtu akinikorofisha bila sababu ntamchukia tu.
 
Unadhani sononi la nini..?
Kuchapwa ni kawaida mbona kwa mtoto!
Mzee hakuwa mkorofi ,sijui tu labda nini mkuu
ndo hapo tunashindwa kumuelewa ,miaka mitano ndo nongwa iwe mpaka leo?
Hatujui sababu muhusika ameshindwa kulifungua ushauri akipata faraja na kusikia maneno mazuri anaweza kusema kipi kilimsibu hapo inaonekana kuna kubwa kuliko hiko kichapo alichopewa
 
WOTE TUMECHAPWA!
WOTE TUMEFINYWA
WOTE TUMEKULA SANA MBOKO NA !
UMRI WA MIAKA MITANO SI WAMTU KUJALI FIMBO KIASI CHA KUATHIRIKA HIVYO KWA AJILI YA FIMBO TU!
SOMETHING IS FISHY!
-UPWEKE
-HATAKI NDOA WALA BF
-BABA HAKUELEZA SABABU
-WALIMU PIA WALIINGILIA KATI!
DADAKO ALIBWAKWA NA MDINGI NA SI AJABU MDINGI ANAENDELEA KULA MZIGO!
very sad!
hasa kama ni dada yenu wa kwanza,rumurs has it kuna makabila kufanya ngono na mabinti zao wa kwanza ni kawaida na mama wanajua na wanafanya ni siri ya familia!
 
...teh hee hee...'kesi' yangu inafia hapa rasmi,f@ggoooottttt!...just hoped you'd be a man!
..next time chagua battles zako carefully...keyboard isikuzuzue!
..uguza pole

Shida yako. !
Una zuzuka wewe kiasi hueleweki kama...
afu naona unawaya waya kama umechomekwa
Bado unayo tu.. mbona una gubu wewe dadapoa?
Utulivu zero!
Hujiamini umetoka nayo kule ukaja leta huku...
vapours!
 
Shida yako. !
Una zuzuka wewe kiasi hueleweki kama...
afu naona unawaya waya kama umechomekwa
Bado unayo tu.. mbona una gubu wewe dadapoa?
Utulivu zero!
Hujiamini umetoka nayo kule ukaja leta huku...
vapours!
..ahsanta!
 
Back
Top Bottom