Amboka Andere afariki dunia!!

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Mchambuzi maarufu wa siasa afrika ya mashariki amefariki dunia. Kwa mujibu w BBC Amboka amefariki leo asubuhi mjini nairobi. Mtoto wa marehemu ameiambia bbc kuwa baba yake alipatwa na maumivu ya kifua ghafla na alipopelekwa hospitali umauti ukamfika. Amboka ambaye kwa taaluma ni mwandishi wa habari, alikuwa akitumika pia na bbc katika uchambuzi wa siasa katika ukanda wa afrika ya mashariki pia huko kenya alikuwa akiliandikia gazeti la daily nation. R.I.P. Amboka!
 
R.I.P..Amboka...nilipopata taarifa ya kifo chake nilitafuta cv yake bila mafanikio ikiwa ni pamoja na CV ya Patrice Lumumba mchambuzi wa sku nyingi na mwanasiasa (Waziri sasa huko Kenya). Mwenye CV za hawa wapiganaji aiweke hapa tafadhari.
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;

TafutaDr. Plo lumumba .......
 
R.I.P..Amboka...nilipopata taarifa ya kifo chake nilitafuta cv yake bila mafanikio ikiwa ni pamoja na CV ya Patrice Lumumba mchambuzi wa sku nyingi na mwanasiasa (Waziri sasa huko Kenya). Mwenye CV za hawa wapiganaji aiweke hapa tafadhari.
<br />
<br />

PatriceLumumba yupi? u mean dr. Patrice (PLO) Lumumba kile kichwa cha takukuru yao?
 
R.I.P maana yake nini? Mungu ndo anajua amweke kwenye amani au kwenye matatizo. Nachukizwa sana na wanaomwagiza Mungu amweke mahali pema mtu aliyekufa.
 
R.I.P Mwenyezi Mungu Amuweke pahali panapostahili kama Marehemu Alivyojiandalia Baada ya Maisha!

Marehemu Amefariki Kisiasa na Kidunia
 
Back
Top Bottom