Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 412
Mchambuzi maarufu wa siasa afrika ya mashariki amefariki dunia. Kwa mujibu w BBC Amboka amefariki leo asubuhi mjini nairobi. Mtoto wa marehemu ameiambia bbc kuwa baba yake alipatwa na maumivu ya kifua ghafla na alipopelekwa hospitali umauti ukamfika. Amboka ambaye kwa taaluma ni mwandishi wa habari, alikuwa akitumika pia na bbc katika uchambuzi wa siasa katika ukanda wa afrika ya mashariki pia huko kenya alikuwa akiliandikia gazeti la daily nation. R.I.P. Amboka!