Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
Dr. Idris Rashid, ni Managing Director.......Yeah hili ni jambo ambalo lilikuwa linasubiriwa kwa muda; nafahamu Dr. Idris na Dr. Dau wameshiriki vilivyo katika kufanikisha ujio wa benki hii kitu. Nadhani Dr. Idris ana nafasi katika utawala. Ni mafanikio ya aina yake nchini japo tayari kuna benki nyingine za kawaida ambazo zinatoa pia huduma kama hii sijui ushindani utakuwaje sasa.