Mazingira
JF-Expert Member
- May 31, 2009
- 1,833
- 298
Hapa wewe hupewi mkopo mkuu sa per islamic codes..
Wewe unatakiwa ununuliwe hicho kifaa unachohitaji ...(benki inanunua then)
Kama benki itakuwa na product za aina hiyo wanakuuzia (wanachukua faida yao kama mfanyabiashara mwingine yeyote)
Mkopo unatolewa kama biashara (write up) ambayo benki na wewe mtagawana risks (pre-determined)
Hapo kuna kuwa hakuna riba ila kuna profit (loss) ambayo ndio principles of ISLAM
Unlike conventional bank ambapo bank haigawani risk na mteja amepata amekosa wenyewe wanataka interest yao
any other question?
Topical kwenye hiyo nyekundu. Je mtu akikopa pesa kwa ajili ya project fulani kwa mfano unakopa kwa ajili ya kilimo, unatumia pesa karibu yote kulimia, kupandia na kupalilia kisha jua kali ikapiga mazao yote yakakauka. Hapo benki inachukkua 100 % risk au inakuwaje kwenye hali kama hiyo?