Ama kweli make ups zinatusitiri

Hahahahaha huko kunatakiwa kuwe kama kulivo maana urembo wake tu umejitosheleza lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

mmhh basi tu kwakuwa ni tamu.. lakini haina sura... tafuteni na dawa ya kuzifanya ziwe zinabana kila wakati... kama bikra.
 
hata mimi umenione Preta!natumia vaseline tu na baby poda,kichwani nina midreads yangu baaas!
kati ya vitu ambavyo sivifagilii ni make-ups, nadhani najipenda zaidi nikiwa bila make-up.
mara chache sana natumia, tena inakuwa ni ushabiki tu nikiwa na mashostito..........
 
wengine bila make up wanapendeza tu,ukizizoea sana,siku unapatwa na kama msiba,inabidi make up uiweke pembeni hapo ndio utalilia mengi,moja wapo ni kwa kutopaka hiyo make up
hao waliozizoea wakipatwa misiba wanaanzia salon ndo kulia baadae, tena kulia kwenyewe wanajua basi, lol
 
kati ya vitu ambavyo sivifagilii ni make-ups, nadhani najipenda zaidi nikiwa bila make-up.
mara chache sana natumia, tena inakuwa ni ushabiki tu nikiwa na mashostito..........

we hata kwa sura unaonekana... huhitaji kujipodoa... Muumba hapo kwako alitulia... hakuwa bussy
 
Preta... kama hiyo picha yako hapo hujapaka make up wala usipake mbona hapo unaonekana wa kuchumbia.. basi tu sijui pa kukupata

ha ha....hiyo sio picha yangu.....ngoja nitakuwekea yangu halisi nione kama hilo wazo la kunichumbia utakuwa nalo......
 
Hata kama angeweka makeup bado anaonekana mbovu tena wa kukongongoka.

Nafikiri ni wigi ndio limemletea mvutio wa kike tuwe wakweli hata Hapa Bongo Wigi limesaidia sana tena sana kwani asilimia kubwa za wanawake hawakubahatika kupata sura za kike kuingia mawigi kumewasaidia angalau wanatizamika

duh......basi kumbe ni bora yawepo tu ili watu tutizamike! Lol
 
ha ha....hiyo sio picha yangu.....ngoja nitakuwekea yangu halisi nione kama hilo wazo la kunichumbia utakuwa nalo......

kwikwikwikw we iweke tu mi bado wazo litakuwepo.... sikuchumbii kwaajili ya kwenda kuwakoga watu na sura...
 
tumieni tu my dearest, zimewekwa kwa ajili ya watu kama nyie, can't do without........ lol! naomba yasinikute haya
mhhh! mbona avatar yako ina make up, haujaweka foundation na angel face au ni macho yangu?? im not sure kama umepaka lipstic.
 
Hahahaha Preta wewe ......jipodoe mama manake kweli aihuuuu

Mke mwenza King'asti zile nyusi zako husni aliziacha kwa wifi AshaDii hivi hajakupatia eeh?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom