Ama kweli USIKU ni kiboko ya mambo...!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,395
Wale wadada wanaochonga sana humu chit chart, saa hizi weshafichwa na waume zao, kwishnehi, hakuna hata mmoja online. kutwa kuchapa umbea humu saa hizi kimyaaa....
Chezea wanaume nyie..

black-couple-in-bed-pf-378x414.jpg

Mida hii huwezi kumuona lara 1, gfsonwin, King'asti, charminglady, cacico, MadameX, snowhite, Kipipi, Preta, Smile, Ciello, Remmy, Yummy, nivea, @FP, sweetlady FirstLady 1 .............
Na wa nok nok wengine.........................LOL
 
Last edited by a moderator:
Wale wadada wanaochonga sana humu chit chart, saa hizi weshafichwa na waume zao, kwishnehi, hakuna hata mmoja online. kutwa kuchapa umbea humu saa hizi kimyaaa....Chezea wanaume nyie..
black-couple-in-bed-pf-378x414.jpg
Mida hii huwezi kumuona lara 1, gfsonwin, King'asti, charminglady, cacico, MadameX, snowhite, Kipipi, Preta, Smile, Ciello, Remmy, Yummy, nivea, @FP, sweetlady FirstLady 1 .............Na wa nok nok wengine.........................LOL
waap mambo ya eid chinja chezeya dompo weye......
 
Last edited by a moderator:
Wale wadada wanaochonga sana humu chit chart, saa hizi weshafichwa na waume zao, kwishnehi, hakuna hata mmoja online. kutwa kuchapa umbea humu saa hizi kimyaaa....
Chezea wanaume nyie..

black-couple-in-bed-pf-378x414.jpg

Mida hii huwezi kumuona lara 1, gfsonwin, King'asti, charminglady, cacico, MadameX, snowhite, Kipipi, Preta, Smile, Ciello, Remmy, Yummy, nivea, @FP, sweetlady FirstLady 1 .............
Na wa nok nok wengine.........................LOL
kwa mara ya kwanza leo Mtambuzi nimesalimu amri
 
Last edited by a moderator:
Ngoja wenzangu waje ndo umbea utakolea sana. Mtambuzi tafuta tu pa.kukimbilia

dada mkubwa mi leo sina ujanja hapa hii mijitu imegonga ikulu i ile mbya yaaani ukisikia kisu kugonga mfupa ndo leo!hata nguvu za kuleta timbili unafikiri nnazo!ahahahhahhahahhahhahahah leo Ciello na Mtambuzi walahi mmeniweza!hapa labda wadau woooooooooooooooooote wa operesheni tetea mama ngina waunganishe nguvu wakiwa chini ya CEO Madame B na mwanasheria wetu Ruttashobolwa ndo naweza kuwa boosted betri yangu!KWISHNEH
 
Last edited by a moderator:
Lol, mzee laanakum huyu. Afu mshua toka maza aingie toharani unaongelea tu nanihii. Usije ukambemenda dogo manake ntakuleta hapa uhukumiwe.mkweo anakusalamia.
 
dada mkubwa mi leo sina ujanja hapa hii mijitu imegonga ikulu i ile mbya yaaani ukisikia kisu kugonga mfupa ndo leo!hata nguvu za kuleta timbili unafikiri nnazo!ahahahhahhahahhahhahahah leo Ciello na Mtambuzi walahi mmeniweza!hapa labda wadau woooooooooooooooooote wa operesheni tetea mama ngina waunganishe nguvu wakiwa chini ya CEO Madame B na mwanasheria wetu Ruttashobolwa ndo naweza kuwa boosted betri yangu!KWISHNEH

Nimeshajua, siku hizi nikitaka kuwanga naingia chit chart usiku mnene, najua wakuda mida hiyo hampo.............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom