Ama kweli make ups zinatusitiri

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
huyu ni Tyra Banks......mweeeeee............

article-2204547-150FE612000005DC-211_634x605.jpg article-2204547-150FE475000005DC-645_634x624.jpg article-2204547-150FE469000005DC-308_306x673.jpg article-2204547-150FE428000005DC-995_634x673.jpg
article-2204547-1504B894000005DC-184_634x869.jpg a-tyra-banks-picture.jpg 220px-Tyra_Banks_2012_Shankbone.JPG

halafu mtu aniambie nisijipake......inahuuu.......

copy kwa : lara 1.. cacico... charminglady... sweetlady... Kongosho.. CUTE.... Erotica.... BADILI TABIA.... snowhite... Madame B.. farkhina.....na wengine wote......
 
Attachments

  • article-2204547-150FE469000005DC-308_306x673.jpg
    article-2204547-150FE469000005DC-308_306x673.jpg
    52.9 KB · Views: 73
Last edited by a moderator:
ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni lol! naona kama wanamsingizia ila mapaparaz ni soo yani wanavizia mtu mpaka huko,,,,,yani wamehakikisha mpaka wanauonesha ulimwengu ze real her hahahaaaaaaa! i hate paparaz
 
Hahahaaaa! Shosti! Make up muhimu sana, hata hawa wadada wa mujini wengi wasingekuwa na hela ya kujipodoa, mbona wasingeonekana!!!! Chagua mchumba asubuhi akiwa katoka kuamka!
 
Weka picha yako na wewe hapa ukiwa una make up na without make up tuanze kujadili?
Lol
 
Hahahaaaa! Shosti! Make up muhimu sana, hata hawa wadada wa mujini wengi wasingekuwa na hela ya kujipodoa, mbona wasingeonekana!!!! Chagua mchumba asubuhi akiwa katoka kuamka!
hahhaha! usiombe ukakutana nao hawana izo ama ndio kaamka asubui lol! au muone johari akiwa msibani pale msiba umekolea kinoma kalia saaaaaaaaana hutaamini kama ni yy waweza zani kama ni bibi yake.
ktk black nakuunga mkono 100%
 
wewe unatumia make-up kiasi gani kujistiri?

kiasi kikubwa aiseee.......khaaa......unataka nikimbiwe....?
hebu nikabandike zangu nyusi saa hizi kwa Zahoro.......inahuu....
 
kiasi kikubwa aiseee.......khaaa......unataka nikimbiwe....?
hebu nikabandike zangu nyusi saa hizi kwa Zahoro.......inahuu....

Shoga wahi weee ukapendeze la si hivo hata salamu hutaulizwa lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Na hiyo ndo sababu sipaki make up kabisaa! Mtu unaogopa kutoka ndani kwako bila makeup usionwe, inahuu?
What you see is what you get. Sio siku ukistuka usingizini ukaniona unapiga yowe unadhani ni jini, nope. Natural skin all the way, moisturiser na baby powder+ lip gloss.
 
Hagahahaha kama nisingeona jina lake ningejiuliza hili dume gani lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
hahhaaaaaaaaaaa huyu itakua anafanana na baba yake si bure ...si wajua kua ile mtoto kufafa na mama na baba sasa yeye naona kafata kwa baba yake
 
Na hiyo ndo sababu sipaki make up kabisaa! Mtu unaogopa kutoka ndani kwako bila makeup usionwe, inahuu?
What you see is what you get. Sio siku ukistuka usingizini ukaniona unapiga yowe unadhani ni jini, nope. Natural skin all the way, moisturiser na baby powder+ lip gloss.

Halooooo wifi yangu tena bro anakupenda the way ulivo....so naturally mmmmwaah

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
aunt.jpg 100_0942.jpg haya sasa auntie ezekiel naye bila make ups hata sio hot kivile kama anavoonekana kweli Preta nimeeamini zinsitiri sana
 
Last edited by a moderator:
hahhaaaaaaaaaaa huyu itakua anafanana na baba yake si bure ...si wajua kua ile mtoto kufafa na mama na baba sasa yeye naona kafata kwa baba yake

Alafu apite njiani wamwambie umefanana na baba patachimbikaje? By the way me copy ya baba

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Hehehe, hivi Husninyo kabla haja-rip alikuachia zile nyusi zangu alizoazima eeh?
kiasi kikubwa aiseee.......khaaa......unataka nikimbiwe....?
hebu nikabandike zangu nyusi saa hizi kwa Zahoro.......inahuu....
 
Last edited by a moderator:
Na hiyo ndo sababu sipaki make up kabisaa! Mtu unaogopa kutoka ndani kwako bila makeup usionwe, inahuu?
What you see is what you get. Sio siku ukistuka usingizini ukaniona unapiga yowe unadhani ni jini, nope. Natural skin all the way, moisturiser na baby powder+ lip gloss.
u made ma day lol! ila kweli si vema sana mana siku ukisahau tu imekula kwako na utajutaje sasa ....bora hata usiwe unapaka daily iwe mara moja moja kwa tukio maalum may be
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom