Ama kweli Lowassa amekwaa kisiki hatari!

Kumbe unakubali kuna baadhi ya makosa yamesababishwa na Lowassa, sasa kama kuna ufisadi anahusika unapata wapi ujasiri wa kumtetea.

Sawa tumeichoka ccm, na waliosababisha ccm ichokwe ni Pamoja na Lowassa na genge lake.

Leo anapata wapi uhalali wa kuwania urais ikiwa faili lake Lina makando kando yasiyo na majibu?

Na mkijitaidi kijibu mnasema Mbona ufisadi haukuisha hata pale alipoondoka .

Hivi toka lini kosa likafutwa kwa kosa.?

Asante sana!
Lowasa ni mmoja kati ya mafisadi hatar waliofanya ccm ichokwe! ! ! Unaweza kuwa uko sahihi! !

Hao wengine wako wapi? (hiv tunavoongea)

Hebu tufanye lowassa kaenda monduli kupumzika! !

Kina tibaijuka wako wapi?
Chenge yuko wapi?
Wengine wale hatar 10 wako wapi?
 
Unajua hawa jamaa wa CCM wanafurahisha sana. Jana kwenye mkutano wamegombana kwelikweli. Kisa kuna wengine hawakupewa T-shirt na kofia. Yaani mambo mengine yanatia hata kichefuchefu kuyasikia. Naamini shida yao sio hizo T-shirt ila nikuonekana kwamba nao ni makada. Halafu jana hiyo nikasikia kuwa walishindwa kupata uongozi wa CCM kwa sababu kila mtu alitaka kuwa mwenyekiti. Wameshikana masharti na kununiana.

Kilichoniuma roho zaidi ni pale nilipomuona Juma Pinto na jamaa zake wakiwa mbele kwa mbele na T-shirt za CCM wakijidai makada wa kutupa wakati Mbowe alipokuja kufungia Tawi la CHADEMA hawahawa ndio waliokuwa wanambebea breafcase na kumwambia kila kitu kipo sawa. Na walijifanya CHADEMA wa kutupa, kumbe walikuwa wanatafuta ngawila tu. Jamani njaa hadi London?!

Kaondoka sasa hilo waachien wananchi wao wataamua 25 October wamfanye nini! ?
Hao wengine mafisadi wenzie wako wapi?
 
Asante sana!
Lowasa ni mmoja kati ya mafisadi hatar waliofanya ccm ichokwe! ! ! Unaweza kuwa uko sahihi! !

Hao wengine wako wapi? (hiv tunavoongea)

Hebu tufanye lowassa kaenda monduli kupumzika! !

Kina tibaijuka wako wapi?
Chenge yuko wapi?
Wengine wale hatar 10 wako wapi?

Lowassa anagombea urais wa nchi, ndio maana anajadiliwa hivyo.

Rais lazima ajadiliwe kwa mapana na marefu ili wananchi wamfahamu vizuri.!
 
Kwenye mikutano yenu fanyeni haya halafu urudi tena hapa JF:

1. Msitumie malori kusafirisha watu
2. Msiwatangulize jukwaani akina daimond na ze komedi!
Hawa ni watu wa chama gani?
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    81.3 KB · Views: 254
  • image.jpg
    image.jpg
    44 KB · Views: 250
mi mtawaliwa yeyote atakaye pita ruksa kula PAYE yangu...
ONYO;

PAYE yangu isitumike kwa ajili ya matibabu
 
Unaposema watanzania wachache.....je, hao wachache watampa kura za ushindi!

Kubali kataa Lowassa rais 2015!

Unanikumbusha utotoni , chandimu (sembo) tulikuwa hatuchezi kama mmoja watu amevaa njumu, lazima avue njumu bila hivyo tunatia mpira kwapani.
Kama wapinzani mmeshuka hadi level hiyo basi mmeshashindwa tayari.
 
Umesema kweli mtoa mada watanzania wachache watampa magufuli kura na watanzania wengi tutampa Lowassa kura.
 
Lowassa amenunua tbc ,star v clouds na channel ten?
Lowassa amenunua redio free africa na redio tanzania?
Lowassa amenunua gazeti la uhuru,habarileo,jambo leo raia tananzia?
Lowassa amenunua slaa lipumba na polepole?
Lowassa amenunua wasanii wote wakubwa.?
Lowassa amenunua simu tv na kujaza mabango mitaani.?
Lowassa anasimama majukwaani kuwatukana ccm?

Think before you speak.
Nguvu mnazotumia ccm ni nyingi sana lakini mmeshindwa kumzuia mpendwa wa watanzania
kama unataka kujua ccm imekataliwa jaribuni kuandaa mkutano bila fiesta na ukawa nayo iandae bila
msanii yeyote tuone kama hamtakimbia aibu
 
1. Kwani CHADEMA hawatumii malori/hawabebi watu?
2. Kwani CHADEMA/UKAWA hawatumii wasanii?....Hawa akina Ney wa Mitego...Bob Junior...Wolper..Shamsa Ford sio wasanii?...

Wale wamekuja kwa hiari yao, ushawahi kuwaona wana perform ili kuvuta watu?
 
Pamoja na Kujiandaa Kuchukua nchi kwa zaidi ya miaka 25.

Pamoja na kuwanunua aslimia kubwa ya wahariri na waandishi wa kawaida wa vyombo vya habari


Pamoja na kuwanunua robo tatu ya wajumbe wa kamati kuu hadi kufikia hatua ya kumzomea Mwenyekiti.

Pamoja na kuvinunua vyama vikubwa vinne vya upinzani na yeye akiwa ndio mgombea pekee.

Pamoja na kumiliki mtandao mpana zaidi na wa hatari nchini Mafioso & Mafisadi Unity (MMU)

Lakini bado anaonekana kupwaya kwa Magufuli,alieanza harakati za urais juzi ,tena hana mtandao ,hana vyombo vya habari vya kueleweka hata ule mtandao hatari Mafioso & Mafisadi Unity (MMU) unamwogopa na kumwangalia kwa jicho la tatu.!

Magufuli usikate tamaa ,watanzania wachache wenye uelewa na nchi yao wanatambua juhudi zako.!

Bora umesema ni wachache. Na hao wachache wana uelewa na Tanzania ya Magufuli, si Tanzania yetu.
 
Ingekuwa urais unapatikana kwenye mitandao basi Lowasa angekuwa rais,lakini bahati nzuri wapiga kura asilimia kubwa ni wale ambao hawajawahi kutumia mtandao

nahicho ndicho kitusikitishacho...majority are misinformed(due to limited access) because of the corrupted system.
 
Mkuu hoja sio wasanii,Mbona na nyie mnatumia Chopa Kama kivutio.

Ukweli ni kwamba Lowassa anapwaya kwa Magufuli Pamoja na mtandao hatari alionao.!

We mwenyewe umesema ni wananchi wachache tu walioko kwa Magufuli.
 
Back
Top Bottom