Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,978
- 5,025
hivi wakaka wa jf wote mshawahiwa eeh?
bado tupo tupo sana!
hivi wakaka wa jf wote mshawahiwa eeh?
umeona eeh? ningekuwa jogoo jogooooooooo..................................................
hahahah, mnaogopa vibibi eeh. huyo mdada amesema yupo between 28 and 32.
we kwenu mpwapwa? kesho nitakuja kukusalimia.
Nyalots usijali wako yupo,hujambo lakini?
Who is the lucky guy?Am happy now!!
Aha ha ha ha! Yani umenichekesha kweli na hizi tecnik zako!akijibu ndiyo mwambie akuelekeze process za kuomba kuvuta maji
na gharama na mwisho mwambie itakuwa vizuri akupe namba yake ya simu
utawasiliana nae ukiwa tayari kuvuta maji...lol
Kumbe hiki kibabu kiko popular namna hii? Aisee!
Ushauri mdogo tu wa babu.......... Maisha haya ni mafupi mno. Usiwazie mambo ambayo huna uwezo wa kuyahimili. Ukiendekeza, watakuchezea watu mwisho wa siku utakuja kujuta na kusema "Laiti ningeendelea na ule upweke wangu"
Mambo ya mahusiano huja automatically, hayalazimishwi wala hayaombwi.............Kama kuna mtu aliyeumbwa kwa ajili yako, atatokea siku ambayo hutaamini.
Kwa maelezo zaidi napatikana kwenye PM.
mawazo hayakosi kuniandama na upweke...najiuliza kwanini mimi?! mbaya zaidi nina muda sijatongozwa!
asante sana RR kweli niombee nimekupenda una upendo sana,lkn kwa age hiyo c nilipaswa kuwa na mtu tena nimetulia?!
Mkuu, asante kwa ad, amesha pata. lol:lol:Mimi ni Muambata wa Balozi, kwa sasa niko Tanzania Embassy South Africa.
Am 39 yrs old currently, also Note : am too fat like Capt. Komba of TOT ! Can you allow me ?
Ni muda kitambo natafuta wife to be.
Kama uko seriously pls Pm soon.
Am happy now!!
Mkuu, asante kwa ad, amesha pata. lol:lol:
Hii post ya mwaka jana, nakumbuka tulikesha na mzee Boss hapa kumshahuri na amerudi kutoa shukurani kua she is happy now. Kwa hiyo nadhani kapata.Roulette, angalia usijemkosesha bahati mwenzako......lol!!!
Wadau wa jukwaa tukufu la MMU, upweke ni kitu kibaya sana wapendwa! Pamoja na uzuri niliobarikiwa na Mungu lkn sijabahatika kupata wa kuniondolea upweke,natamani nipate mtu anipende nami nimpende,aniambie i miss u,i love u,nakuhitaji,anipe maneno matamu ya mahaba,sijawahi kupata,niliyewahi kuwa nae ilikuwa sawa na sina mpenzi!simu mpaka nipige mimi,msg niandike mimi vinginevyo atanyamaza hata wiki!am so desparate nahitaji counselling au msaada niondokane na hii hali tafadhali.