Am soooo tired of being lonely

Kumbe hiki kibabu kiko popular namna hii? Aisee!

Ushauri mdogo tu wa babu.......... Maisha haya ni mafupi mno. Usiwazie mambo ambayo huna uwezo wa kuyahimili. Ukiendekeza, watakuchezea watu mwisho wa siku utakuja kujuta na kusema "Laiti ningeendelea na ule upweke wangu"

Mambo ya mahusiano huja automatically, hayalazimishwi wala hayaombwi.............Kama kuna mtu aliyeumbwa kwa ajili yako, atatokea siku ambayo hutaamini.

Kwa maelezo zaidi napatikana kwenye PM.

huchoki ukaguzi? lakn hapa uliongea pweinti!!!
 
mdada, ni kwamba hutongozwi kabisa au unatongozwa na watu ambao sio type yako, au unawahisi ni matapali wa mapenzi ndiomana unashindwa kuwapa nafasi?
 
..tengeneza platform yakufikiwa na kupatwa, pengine ww mwenyewe ndio unajua kuwa upo single na unahitaji mwenza lakini mfumo wako wa maisha hautoi taswira hiyo. Kwa mfano huendi kwenye maeneo ambayo unaweza kukutana na potential predators, sio social being, ni groupie, unaamini uzuri ndio kila kitu kiasi cha ku-intimidate waonyesha nia....go out there get some friend....be yourself na usitegemee uzuri, ji-express watu wa kujue ww ni mtu wa aina gani, mitazamo yako n.k! Pia waweza anzisha mazoea/urafiki na mtu unaeona anakufaa, be pro-active!! Go for it....you ain't get any younger!
 
asante sana RR kweli niombee nimekupenda una upendo sana,lkn kwa age hiyo c nilipaswa kuwa na mtu tena nimetulia?!

sijui kwa nini baadhi ya dada zetu wakishagonga 30 years tu wanaanza kuwa desperate... au ndio mambo ya kukimbizana na biological clock hayo?
 
Mimi ni Muambata wa Balozi, kwa sasa niko Tanzania Embassy South Africa.
Am 39 yrs old currently, also Note : am too fat like Capt. Komba of TOT ! Can you allow me ?
Ni muda kitambo natafuta wife to be.
Kama uko seriously pls Pm soon.
 
Wadau wa jukwaa tukufu la MMU, upweke ni kitu kibaya sana wapendwa! Pamoja na uzuri niliobarikiwa na Mungu lkn sijabahatika kupata wa kuniondolea upweke,natamani nipate mtu anipende nami nimpende,aniambie i miss u,i love u,nakuhitaji,anipe maneno matamu ya mahaba,sijawahi kupata,niliyewahi kuwa nae ilikuwa sawa na sina mpenzi!simu mpaka nipige mimi,msg niandike mimi vinginevyo atanyamaza hata wiki!am so desparate nahitaji counselling au msaada niondokane na hii hali tafadhali.

Please jitahidi kujichanganya na watu,
usipende kujiweka very expensive
Punguza madharau especially kwa wanaume?
Jitahidi kushiriki kwenye mambo ya kijamii kama vile harusi,kwenda church(for christian) N.K
Punguza criteria za mwanaume unaemtaka coz sometimes huwa mnaota wanaume wa kwenye movie of which sio rahis kuwapata watu wenye criteria hizo.
Kwa maelezo zaidi ni PM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom