Am soooo tired of being lonely

kibali

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
504
421
Wadau wa jukwaa tukufu la MMU, upweke ni kitu kibaya sana wapendwa! Pamoja na uzuri niliobarikiwa na Mungu lkn sijabahatika kupata wa kuniondolea upweke,natamani nipate mtu anipende nami nimpende,aniambie i miss u,i love u,nakuhitaji,anipe maneno matamu ya mahaba,sijawahi kupata,niliyewahi kuwa nae ilikuwa sawa na sina mpenzi!simu mpaka nipige mimi,msg niandike mimi vinginevyo atanyamaza hata wiki!am so desparate nahitaji counselling au msaada niondokane na hii hali tafadhali.
 
Ooh wory nt mwaya lazma kuna m2 kwa ajili yako ambaye atakupenda na kukuheshmu kwa dhati soon atajitokeza
 
Wadau wa jukwaa tukufu la MMU, upweke ni kitu kibaya sana wapendwa! Pamoja na uzuri niliobarikiwa na Mungu lkn sijabahatika kupata wa kuniondolea upweke,natamani nipate mtu anipende nami nimpende,aniambie i miss u,i love u,nakuhitaji,anipe maneno matamu ya mahaba,sijawahi kupata,niliyewahi kuwa nae ilikuwa sawa na sina mpenzi!simu mpaka nipige mimi,msg niandike mimi vinginevyo atanyamaza hata wiki!am so desparate nahitaji counselling au msaada niondokane na hii hali tafadhali.

We mchoyo?
 
Pole sana kwa upweke ila nikiangalia ulivo andika naona huta chelewa kupata mtu.
  1. unajijua wewe ni mzuri (wa mwili au wa roho, it doesnt matter, what matter ni kujiamini)
  2. Una standards. Kama mtu hafikii hiyo standard hakustahili (kama huyo ambae hatoi ushirikiano katika communication)
  3. You have so much love to give. Yaani nikisoma message yako naona uko tayari kwa kupokea ila pia kwa kutoa penzi.
Ushauri wangu ni huu: jaribu kusahau mambo ya mapenzi kwa muda wa siku kadhaa, focus on yourself. Kumbuka ni vitu gani unapenda kwako (na shukuru mungu kwa kua na hivyo vitu/tabia), vitu gani unapenda kufanya ukiwa peke yako au na rafiki zako (na kama unaweza vifanye), na soma sana kuhusu relationship na namna ya kuboresha mahusiano katika mapenzi ili wakati mpenzi wako atajitokeza akukute uko ready kumpokea. Usi fikirie kabisa kama huna mpenzi, unae, it is just a matter of time before love shows up!
 
wanaokuambia kama wengi ni wanaume wanakudanganya.lengo wakuvue nguo
hebu jieleze hapa ulivyo halafu nikwambie ukweli viwango vyako...

Boss mbona umekamia sana kwenye uzuri,kiukweli niko kiwango huwa naambiwa na me/ke,sasa unanishaurije Boss wangu?
 
Pole sana kwa upweke ila nikiangalia ulivo andika naona huta chelewa kupata mtu.
  1. unajijua wewe ni mzuri (wa mwili au wa roho, it doesnt matter, what matter ni kujiamini)
  2. Una standards. Kama mtu hafikii hiyo standard hakustahili (kama huyo ambae hatoi ushirikiano katika communication)
  3. You have so much love to give. Yaani nikisoma message yako naona uko tayari kwa kupokea ila pia kwa kutoa penzi.
Ushauri wangu ni huu: jaribu kusahau mambo ya mapenzi kwa muda wa siku kadhaa, focus on yourself. Kumbuka ni vitu gani unapenda kwako (na shukuru mungu kwa kua na hivyo vitu/tabia), vitu gani unapenda kufanya ukiwa peke yako au na rafiki zako (na kama unaweza vifanye), na soma sana kuhusu relationship na namna ya kuboresha mahusiano katika mapenzi ili wakati mpenzi wako atajitokeza akukute uko ready kumpokea. Usi fikirie kabisa kama huna mpenzi, unae, it is just a matter of time before love shows up!

asante sana RR nitazingatia sana hasa hapo kny kujua zaidi khs mahusiano,kiuhalisia kutokufikiri ni ngumu wakati mwingine maana kuna muda unaona kuwa unahitaji mwenzio,asante kwa ushauri mzuri
 
Unajua kuna hata mauwa yanachanua vizuri sna na yanatamanisha kwa mbali, lakini ukiyasogelea unakuta yana miiba? Toa miiba hiyo...

Tuko nahisi kama ninakuelewa lkn kuna vitu namiss,ulichokisema ni kweli maana mapenzi hayaangalii sana uzuri wa nje,elimu,pesa n.k lakini sasa unadhani ni miba ipi hiyo inaniwekea vikwazo Tuko?hata vya kukosa men' approach!
 
asante sana RR nitazingatia sana hasa hapo kny kujua zaidi khs mahusiano,kiuhalisia kutokufikiri ni ngumu wakati mwingine maana kuna muda unaona kuwa unahitaji mwenzio,asante kwa ushauri mzuri
Najua sio rahisi ila ukianza kufikiria jaribu basi kufikiria furaha utakayo kua nayo wakati utakua na mwenzio, usifikirii kwa upande wa negative zaidi (mbona mi sina, leo tena nitakua peke yangu) ila fikiria positive (maybe siku ya kukutana itakua ni hapa, sijui atakua anapenda movies kama mimi? etc) yaani kila feeling ya upweke ikija fikiria ni namna gani itakua mtakapo kua wote na utajiskia unakua na furaha kila wakati. sio rahisi mwanzo ila with time utaona unakua mwepesi tu na mtu anajitokeza kwa njia hukutegemea kabisa.
Unasema hutongozwi sana siku hizi ila kumbuka pia hakuna mtu anataka kumtongoza mwanamke who is as sad and depressed as you sound. watu wanataka mtu mchangamfu, mtu happy and alive.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom