Am l useless person kwa kuwa nimeachwa na mwanamke na nimefukuzwa kazi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,883
155,856
kudadadadaddadeki, siamini.
I will rise, kama alivyosema Gabriella kwenye wimbo wake.
Wanaonicheka, kunibaza na kunipuuza sina muda nanyi, napiga moyo konde na kuangalia mbele.
Life is full of hills and valleys.
 
LOL...Utanisamehe nimecheka.. Niwazi uko kujipa moyo na unajutia... Hope Gab' atakupa company mpaka utapo rise again...
 
No you are not...,,unless vyote ni matokeo ya uzembe wako.Hata hivyo pole sana....mitihani ya maisha hiyo utaishinda kwa jitihada binafsi na kwa kumshirikisha Mungu kwenye mambo yako!
 
kaka rudi kijijini kajipange, kuanza upya si ujinga. Ukiendelea kulemaa town huchelewi kuwa kibaka, tapeli au hata ukaingia kwenye ujambazi na uuzaji wa mihadarati.
 
BUJIBUJI
acha kuwashika watu uchawi, haikusaidii kwa namna yoyote. Angalia ni wapi umeanguka, inuka, jifute kisha chapa lapa.
 
kama mambo ni hivi ngoja nimuombe bujibuji namba yake ya simu ili anikumbuke kwenye ufalme wake ujao.
Fanya fasta ndg yangu watu wanaishi kimjinimjini.uwoga wako ndio umaskini wako. Kata mti panda mti
 
Ukiachwa na wife sio issue sana .issue ni job. Tupa kule anza umpya .Never too late
 
kudadadadaddadeki, siamini.
I will rise, kama alivyosema Gabriella kwenye wimbo wake.
Wanaonicheka, kunibaza na kunipuuza sina muda nanyi, napiga moyo konde na kuangalia mbele.
Life is full of hills and valleys.

Pole sana. Utapata kazi nyingine na utapata mke mwingine, mradi uwe na uaminifu katika vyote hivyo.
 
ungetoa information ya kutosha kuhusu mkasa mzima ingekuwa rahisi kukusaidia lakini kwa maelezo mafupi hivo ni ngumu kukujibu whether ur useless or not. ila pole.
 
Back
Top Bottom