Am l useless person kwa kuwa nimeachwa na mwanamke na nimefukuzwa kazi?

Haijalishi kama sababu ya matatizo yako ni uzembe wako au bahati mbaya,
ninaloweza kusema ni pole sana bujibuji,
lililo muhimu kwako ni
kujifunze kupitia hizo changamoto zilizokufika
ni wachache sana wanaojifunza pasipo kupatwa na tatizo,
ila wengi wanajifunza kupitia makosa yao yaliyowatokea.
pole sana,simama,jipange upya tena kwa umakini zaidi ili maisha yaendelee.
 
Huyo hakuwa mke.alikuwa kimada.alipenda kazi yako.ukishapata kazi atakuja kukupigia magoti akiomba msamaha huku akimsingizia shetani eti ndiye aliyemshawishi.
 
mi ntajuaje???
Uzembe kazini labda huzingatii kinachokupeleka kazini na bibi labda humjali.....how should i know?

azingatii unamaanisha anatongoza ovyo kazini ama..na kwenye kushugulika hiyo ni kweli wengi wamekuwa wazembe kwenye mapenzi na kuishia kuomba misaada huku jf;anyway kila mtu ana shida zake mwaya kifupi nakutakia la kheri unyanyuke tena ....hope uvumulivu hula mbivu komaa bb
 
HAPA NILICHEKA SANA ULIPOANZA

kudadadadaddadeki, siamini.

BAADAE


will rise, kama alivyosema Gabriella kwenye wimbo wake.
Wanaonicheka, kunibaza na kunipuuza sina muda nanyi, napiga moyo konde na kuangalia mbele

NIKAHISI MACHOZI YANITOKA

KILA LA KHERI;;;;;;;;;;;;;;;;
 
kudadadadaddadeki, siamini.
I will rise, kama alivyosema Gabriella kwenye wimbo wake.
Wanaonicheka, kunibaza na kunipuuza sina muda nanyi, napiga moyo konde na kuangalia mbele.
Life is full of hills and valleys.

Challenge za maisha kijana. Tafuta kazi nyingine sasa, mjini hujaenda kulala.
 
inawezekana vyote viko fused together...mke ndo alikuwa mwajiri, so alipokupiga chini kwenye malavidavi akakupiga chini ajirani pia! Pole lkn. the vulture is a patient bird...si unanikumbuka?
 
there is nobody in this world who is useless everyone has something different from the other and thats y we always depend on one another, na kuachwa will never make you useless coz you wea useful thats y u wea together all that long and now she just got a more useful person than you, sema kufukuzwa kazi si jambo la kawaida sana, pole kama ulisingiziwa na ujirekebishe kama ni makosa yako, but above all everything that happens in our lives happens for a reason, and the reason can be to teach you something or to prevent you from going to the worst.
 
Back
Top Bottom