The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Lizzy maneno kuntu hayaSasa sindo aanze mchakato!!
Fynest acha wapenzi wa disco wang'ang'anie disco we jitafutie ka-malaika au ka-prince kako kakufurahishe siku zote!!:A S-baby:

Lizzy maneno kuntu haya
Sasa sindo aanze mchakato!!
Fynest acha wapenzi wa disco wang'ang'anie disco we jitafutie ka-malaika au ka-prince kako kakufurahishe siku zote!!:A S-baby:
Yaani kulazimisha kuwa mama? One thing i believe ni kuwa kama wewe na mwenzi wako mmekaa chini na kupanga what you want and what you need definitely hapo hakuna cha wito wala kulazimishwa, being a mother it comes automatically wanaotupa watoto its a result ya kukwepa na kukimbia majukumu, kutokujiandaa na kutokuwa na mipango madhubuti ya jinsi gani ya kumlea huyo mtoto
TF mi nilipata mtoto wakati sikujiandaa infwakiti hata mipango madhubuti ya huyo mtoto nilikua sina ilitokea tu nikabeba mimba mwe! nilivyokua mjamzito nilikua naogopa hayo majukumu lakini baada ya kuzaa lol niliyaface yote. Wanaotupa watoto lazima wana tatizo ubongoni my dear.
Hainiingii akilini uwe na ujauzito wa wiki moja, unauangalia
wiki mbili umetulia unachekelea
Mwezi wa kwanza unazidi kumung'unya ukwaju na kulamba udongo
Mwezi wa pili ......................... tisa
Unazaa mtoto kwa uchungu analia ng'aaaaaa unamtupa.
Hii hainiingii akilini hata kidogo lazima utakua na matatizo makubwa ya akili ila hujijui
Muhimu sana aisee itabidi nikape jina la Lizzy kabisaMhuuuu.....nataka ka-auntie kengine kakunibusu busu kila saa!!!
[/SIZE][/B]TF mi nilipata mtoto wakati sikujiandaa infwakiti hata mipango madhubuti ya huyo mtoto nilikua sina ilitokea tu nikabeba mimba mwe! nilivyokua mjamzito nilikua naogopa hayo majukumu lakini baada ya kuzaa lol niliyaface yote. Wanaotupa watoto lazima wana tatizo ubongoni my dear.
Hainiingii akilini uwe na ujauzito wa wiki moja, unauangalia
wiki mbili umetulia unachekelea
Mwezi wa kwanza unazidi kumung'unya ukwaju na kulamba udongo
Mwezi wa pili ......................... tisa
Unazaa mtoto kwa uchungu analia ng'aaaaaa unamtupa.
Hii hainiingii akilini hata kidogo lazima utakua na matatizo makubwa ya akili ila hujijui
The Following User Says Thank You to Maty For This Useful Post:[/SIZE][/B]TF mi nilipata mtoto wakati sikujiandaa infwakiti hata mipango madhubuti ya huyo mtoto nilikua sina ilitokea tu nikabeba mimba mwe! nilivyokua mjamzito nilikua naogopa hayo majukumu lakini baada ya kuzaa lol niliyaface yote. Wanaotupa watoto lazima wana tatizo ubongoni my dear.
Hainiingii akilini uwe na ujauzito wa wiki moja, unauangalia
wiki mbili umetulia unachekelea
Mwezi wa kwanza unazidi kumung'unya ukwaju na kulamba udongo
Mwezi wa pili ......................... tisa
Unazaa mtoto kwa uchungu analia ng'aaaaaa unamtupa.
Hii hainiingii akilini hata kidogo lazima utakua na matatizo makubwa ya akili ila hujijui
The Finest (Today)
Sasa ndo kusema unataka aanze na wewe au??? Maana naona unajipigia debe kiaina!!
Am watching u closely!!!!!!!!!
Hahahaha lol!!!!Khaaaaaa!!!Nitake radhi haraka sana........yani wakuniita auntie huyo huyo aniite mama??
[/SIZE][/B]TF mi nilipata mtoto wakati sikujiandaa infwakiti hata mipango madhubuti ya huyo mtoto nilikua sina ilitokea tu nikabeba mimba mwe! nilivyokua mjamzito nilikua naogopa hayo majukumu lakini baada ya kuzaa lol niliyaface yote. Wanaotupa watoto lazima wana tatizo ubongoni my dear.
Hainiingii akilini uwe na ujauzito wa wiki moja, unauangalia
wiki mbili umetulia unachekelea
Mwezi wa kwanza unazidi kumung'unya ukwaju na kulamba udongo
Mwezi wa pili ......................... tisa
Unazaa mtoto kwa uchungu analia ng'aaaaaa unamtupa.
Hii hainiingii akilini hata kidogo lazima utakua na matatizo makubwa ya akili ila hujijui
Mi hua nachoka na visingizo vya sijajiandaa sijajiandaa.....mangapi hatujiandai nayo hapa duniani na bado yakitufika tunakabiliana nayo???
Hao watupaji watoto na wanabaki nao ila hawawajali ni wabinafsi tu waliopitiliza....wanataka kil akitu kiwe kuhusu wao!!Kitendo cha kumjali na kumweka mtu mwingine kabla yao kinakua kinawauma sana!!!
Kubeba mimba tu sio kua mama.....
Kuzaa na kutupa hakukufanyi mama...
Umama uko kwenye kua na roho ya upendo na yenye kujali!!Ndo maana wengine hawajazaa wao ila bado wanaitwa mama na wanastahili!!
Hongera dear kwakuipokea hiyo changamoto na kuigeuza baraka na furaha yako!!!Natamani wengi wetu tungekua hivyo!!!:happy:
Khaaaaaa!!!Nitake radhi haraka sana........yani wakuniita auntie huyo huyo aniite mama??
Nakutaka radhi mama uliyenipa Ubaba
muda muafaka ukifika Pauline mawazo yote na fikra zote ulizonazo kwa sasa zitafutika kabisa.wewe unaweka socialization mbele kwa sasa ila kuna kipindi kitafika utagundua sio lazima kwenda club ni muda wa kulea. time will tell...
Well said desh deshMi hua nachoka na visingizo vya sijajiandaa sijajiandaa.....mangapi hatujiandai nayo hapa duniani na bado yakitufika tunakabiliana nayo???
Hao watupaji watoto na wanabaki nao ila hawawajali ni wabinafsi tu waliopitiliza....wanataka kil akitu kiwe kuhusu wao!!Kitendo cha kumjali na kumweka mtu mwingine kabla yao kinakua kinawauma sana!!!
Kubeba mimba tu sio kua mama.....
Kuzaa na kutupa hakukufanyi mama...
Umama uko kwenye kua na roho ya upendo na yenye kujali!!Ndo maana wengine hawajazaa wao ila bado wanaitwa mama na wanastahili!!
Hongera dear kwakuipokea hiyo changamoto na kuigeuza baraka na furaha yako!!!Natamani wengi wetu tungekua hivyo!!!:happy:
hapo nilipobold naona ndio penye tatizo.....wengi wanalichukulia ni jukumu la mwanamke zaidi,kweli fanya utafiti wa wababa wangapi hata wanajua kubadilisha mtoto pampers,uone utakavyoshangazwa?!
Usipokamilisha kwenye huo muda uliojipangia???Kwa kweli Mie napenda sana watoto ila napenda nizae nikikamilisha mipango yangu yoote niliyojipangia ndio nizae, sijawahi pata hali kama iliyokupata Pauline pamoja na kulea watoto wa ndugu zangu wengi sanasana imenipa tamaa tu na kujiambia siku moja Mungu akijalia na mimi nitakuwa na wangu