am i ....normal

i'm comin a litle bit personal...how old are you pauline? Na hiyo semester unayozungumzia ni zamani kodogo au, i mean are u stil at university? And if yes, ni mwaka wa ngap.? I can be of a good advice kama ukinijibu, please

samahani mpendwa ,hapo nilikuwa nataka kusema last trimmester(miezi mitatu ya mwisho ya ujauzito nikachemka nikasema semmester lol:happy:
 
....Nimeishi na dada yangu katika kipindi cha mwisho (last semmester) cha ujauzito mpaka alipojifungua mtoto wa kiume...mwenzenu sijui kwa nini,kumuona dada yangu anavyohangaika na mtoto limeniput off kabisaa mimi kuzaaa na kulea!.....jamani sio kazi rahisi especially siku za kwanza,nimeona hata usiku kila baada ya lisaa limoja mtoto alikuwa analia,inabidi ambembeleze ampe maziwa etc HULALI. .....pia kuwa na mtoto kumemzuia kwenda kusocialize kwenda club,parties etc....
...nauliza nyie wamama wa JF how do you balance being a mother,a wife ana may be full time worker........kwa sababu kila nikiangalia mwenzenu naona kama YATANISHINDA,hilo la umama naona kama nitalisacrificE nibaki hivi hivi...LOL
mwenzenu naona U MAMA ni wito kama vile ulivyo upadre LOL,'sio wote 'wanaitwa'! hehehe....kuna wanaowaza kama mimi au???????????????????????

Happy mothers day to all mamas here in JF,some of us understand how much you sacrifice for the sake of your kids...BIG UP TO YOU ALL....

Pauline mambo?

You are not normal asee. Hebu piga moyo konde ulete viumbe duniani bana. Mama yako na mama yangu wangekuwa selfish kihivyo tungekuwa hapa duniani? Mwanamke aliye normal -ukiondoa imani za baadhi ya watu wanaofuata wito wa utawa- anapenda sana kuitwa mama!...Lakini kuukataa umama kwakuwa tu mtoto atakusumbua kwa kulia usiku na kukunyima kososholaiz.......babu hakubaliani nalo. Utafikia umri ambao hautahitaji kwenda huko kwenye kuparee...........umri noma wewe. Basi hapo ndipo utaujua umuhimu wa kuwa na mtoto/watoto.

Hebu kazae huko, babu atakuchapa.

Babu anarudi kitandani.
 
24hrs kitandani???
Nani kasema sifa kuu ya babu ni uvivu???
Mababu wako ngangali bana . . . .
 
According to your thread, you are abnormal. What if you mother could say what you are saying here? Ungekuwa wapi? Ni mangapi mama yako kapitia? Inawezekana ana watoto zaidi ya 5 bado aliwalea na furahi fujo zenu.

Hivi kuna wanawake wako selfish na irresponsible kama wewe? Funga na kuomba maana mungu amesikia kilio chako na atakifanyia kazi.

Glory be to god.

just because umezaa,doesnt mean uko responsible....there are a lot of irresponsible and selfish mothers outhere......
 
ah ah ah babu anarudi bed kutafuta toto ingine lol
Pauline mambo?

You are not normal asee. Hebu piga moyo konde ulete viumbe duniani bana. Mama yako na mama yangu wangekuwa selfish kihivyo tungekuwa hapa duniani? Mwanamke aliye normal -ukiondoa imani za baadhi ya watu wanaofuata wito wa utawa- anapenda sana kuitwa mama!...Lakini kuukataa umama kwakuwa tu mtoto atakusumbua kwa kulia usiku na kukunyima kososholaiz.......babu hakubaliani nalo. Utafikia umri ambao hautahitaji kwenda huko kwenye kuparee...........umri noma wewe. Basi hapo ndipo utaujua umuhimu wa kuwa na mtoto/watoto.

Hebu kazae huko, babu atakuchapa.

Babu anarudi kitandani.
 
yani kwa huyu naona bora nitumie kinga ya ngao mwenzie namwambia tayari nina 10 yy anataka tuongeze tena wawili kama ananipenda si tuendelee tu kulea hawa kwanza?
Unamaanisha kinga ya kuongeza wawili
 
yani kwa huyu naona bora nitumie kinga ya ngao mwenzie namwambia tayari nina 10 yy anataka tuongeze tena wawili kama ananipenda si tuendelee tu kulea hawa kwanza?

Dawa ni kufunga kizazi tu ili uwe unajiachia kwa raha ukitumia kinga inaweza tokea ajari kazini
 
Daah! Umenikumbusha zile hisia nzuuuuriiii za kumpakata mtoto, kumwangalia amelala, kama ka-malaika fulani hivi hata usingizi naupata ukinizidia! Ni raha sana kuzaa na kulea mtoto wako mwenyewe hasa kama baba yake yupo karibu. Umeona taabu kwa sababu huna ile connection ya kumlea tumboni, kumsikia akicheza cheza tumboni hadi kumzaa na kumwona live. Ila wakati wako ukifika kama umejaaliwa kuzaa watoto na kulea, utapenda na kufurahia sana.
 
Pauline mambo?

You are not normal asee. Hebu piga moyo konde ulete viumbe duniani bana. Mama yako na mama yangu wangekuwa selfish kihivyo tungekuwa hapa duniani? Mwanamke aliye normal -ukiondoa imani za baadhi ya watu wanaofuata wito wa utawa- anapenda sana kuitwa mama!...Lakini kuukataa umama kwakuwa tu mtoto atakusumbua kwa kulia usiku na kukunyima kososholaiz.......babu hakubaliani nalo. Utafikia umri ambao hautahitaji kwenda huko kwenye kuparee...........umri noma wewe. Basi hapo ndipo utaujua umuhimu wa kuwa na mtoto/watoto.

Hebu kazae huko, babu atakuchapa.

Babu anarudi kitandani.

babu mie nahisi hata hilo la umama lina wito,sio wote wanaitwa,wengine wanalazimishia tu sababu as a society jamiii inakuexpect at certain time and age uitwe mama,whether you are ready ama you want it,hio ni ishu nyengine...
mie mwenzenu bado hamjaniconvince, u loneliness ukiwa mzee hauwezi kunisukuma nikazaa sababu who knows nitaishi kufikia kuitwa mzee?:happy:
 
Solution funga kizazi tu kuliko kutoa mimba ikinasa kwa bahati nzuri
 
aku sitaki bana!
Unamaanisha kinga ya kuongeza wawili[/QUO

Ndo mana nakulove mkwe wangu ngoja nifunge ili jamaa acheze tuuuuu uwanjani no goli
Dawa ni kufunga kizazi tu ili uwe unajiachia kwa raha ukitumia kinga inaweza tokea ajari kazini[/QUOTE]
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom