Am I being unreasonable? ...ushauri please!

Nemo

JF-Expert Member
Feb 22, 2011
751
1,331
Habari zenu wana Jf.

Ninae rafiki, ambaye nilimuahidi kuwa ifikapo mwaka 2014 nitarudi nyumbani ili tuweze kupanga mipango ya maisha and possibly get ................. Unfortunately it does not look like I will be able to fulfil the said promise( I may need an additional year or so).
However, mwenzangu ametoa ultimatum saying its 2014 or nothing! Sasa mimi swali langu ni hili, if you really love someone jamani what is one more year? My family thinks I am the problem. They are of the mind that I'm being difficult and unreasonable! Lakini kweli mwaka kama mtu uko serious na mwenzio how can a mere year be an issue?

Nakaribisha mawazo yenu.

PS
I know some pple are annoyed with the language mixing, but please nisameheni I just cant help myself :A S embarassed:
 
inategemea amekusubiri miaka mingapi.
Kumbuka yeye ni binadamu...
Anahold ndoto zake, mipango yake kwa ajili yako......
Na miaka inaenda mbele hairudi nyuma..
Acha ubinafsi wa kujifikiria weww mwenyewe....
Mfikirie na mwenzio pia!!!!!

Thamini unapothaminiwa, kumbuka hutojua thamani ya ulichonacho mpaka ukipoteze, sharilo...
 
Umesema sana ndugu.....namshauri azingatie haya maneno
 
kama kasubiri kwa muda mrefu sana, uvumilivu unaweza kuwa unamshinda, ameshajipima akaona kafika kikomo chake.

Na pia inategemea wewe unataka kufanya nini umhimu wake akilinganisha na anachotaka mfanye pamoja.

Do you love him? Au 50/50?
 
mbona ni swala dogo na linajadilika?

Je unaweza rudi nyumbani walau mkaongea ana kwa ana?

Kongosho
Nimesharudi na tulipoongea ndio nilisema hiyo 2014 , na hata hapo i did say most probably na sio definately
 
je unachotaka kumalizia kufanya na umuhimu wake kwako ukoje?

Inaweza kuwa unajali sana elimu/carrier kuliko yeye. Is this the case?

Kama unapenda yeye awe flexible, hata wewe fikiria kuwa flexible pia.

Mapenzi ni 2 ways.

Kongosho
Nimesharudi na tulipoongea ndio nilisema hiyo 2014 , na hata hapo i did say most probably na sio definately
 
inategemea amekusubiri miaka mingapi.
Kumbuka yeye ni binadamu...
Anahold ndoto zake, mipango yake kwa ajili yako......
Na miaka inaenda mbele hairudi nyuma..
Acha ubinafsi wa kujifikiria weww mwenyewe....
Mfikirie na mwenzio pia!!!!!

Thamini unapothaminiwa, kumbuka hutojua thamani ya ulichonacho mpaka ukipoteze, sharilo...

BADILI TABIA

Kwanza ahsante kwa ushauri. Pili si kwamba ni mbinafsi, ila ni kuwa mipango haijaenda kama nilivyo dhania. I can't just up and leave, maana hata kama ni yeye namkimbilia, my biggest worry is, if I am to leave na mipango nusu nusu at some point this will come and haunt us in the near future. Vitu visipoenda vizuri I can easily see myself being end up resentful of the fact that I had to leave my life unprepared!
 
What's your position? "One more year or nothing"?

RussianRoulette
pretty much,,,,,,,,,,,,,,,,at least that was what it was, mpaka nilivyo uliza a few family members ndio waka plant a seed of doubt now im not sure if its the best decision!
 
RussianRoulette
pretty much,,,,,,,,,,,,,,,,at least that was what it was, mpaka nilivyo uliza a few family members ndio waka plant a seed of doubt now im not sure if its the best decision!
I think it is unreasonable... try to compromise. Hilo shahuri la Mwali hapo juu linawezekana?
 
Rudi, olewa alafu nenda tena ukamalize shughuli zako.

Mwali
I guess I could do that, but cost wise its not the best option. Ila n what's bothering me most is mwanaume gani anayetoa ultimatum kwaajili ya mwaka tu............................. Duh jamani si ndio kunyanyasika kwenyewe huku!!!
 
Post za MMU za sasa ni kama TEST..!! They make me thnk alot..!!
 
kama kasubiri kwa muda mrefu sana, uvumilivu unaweza kuwa unamshinda, ameshajipima akaona kafika kikomo chake.

Na pia inategemea wewe unataka kufanya nini umhimu wake akilinganisha na anachotaka mfanye pamoja.

Do you love him? Au 50/50?

Kongosho
My dear, love has got nothing to do with it. Ni kuwa I have some things that I need to attain and/or accomplish for my own self worth, before embarking on the "togetherness" journey with him. Kwa bahati mbaya kimoja needs a bit more time. Sasa kwanini iwe issue?

PS
Eversince we met, we met like 2 years ago I had been open regarding my going home. As in as said unless I have this, and this and that I will not go back
 
Mwali
I guess I could do that, but cost wise its not the best option. Ila n what's bothering me most is mwanaume gani anayetoa ultimatum kwaajili ya mwaka tu............................. Duh jamani si ndio kunyanyasika kwenyewe huku!!!
I don't know how he told you about this but I think it is the way he spoke about it that got you stiff...
Na yeye anajiuliza: ni kujipenda gani huku mtu akakae 4 years, alafu maswala muhimu kama ndoa akatae sababu ya ambitions zake (if it is the case). Pia kumbuka the deal was 4 years. now you want an extension, you are going over the deal and it is for you to beg him and try convince him that he should change his mind to accommodate your new emerging needs that were not part of the initial deal, not the other way round...
In this particular case (if you really want him) you seem to be the unreasonable one...
 
ha haaa are u sure uko peke yako?

isije kuwa kuna stand in bride in case ukatae...?lol
 
Back
Top Bottom