Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,929
Miss you kweli babi wangu
karibu sana, mumeo Rejao hakuweza kuvumilia
mwone hapa chini
View attachment 60963
Karibu sana...shemejiyo nilikumiss kuliko kakaangu...lol
Nimelimisi biani lako jamani. utanipikia lini tena?
Karibu tena lov....
kaka yangu kumbe upo, usihofu hata usipokuwepo mdogo wako nipo tu, nitakulindia bila wasiwasi.... Erickb52, Bishanga na kina BAGAH... nikiwepo wanakuwa wapole saana!!Karibu tena lov....
Now nashida JF 24/7 kukulinda....
Love u sanaaaa...:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Cantalisia uliipata ile zawadi yako?
Thanx lov...You make me smile everyday, you make my heart race away, you make me feel like a king...@ My darling Rejao thank u a lot swty,as u know my love 4u is unconditional,ur the one and the only 4ever! nakuaminia kwa ulinzi darling wangu,just come this way kwa cha mchana lol!
Smiling Saint...oaoaoa
aaaaaah kumbe kipindi ile ulikuwa bado upo, kwa hiyo sasa hivi unapatikana kama kawaida? ila sijui siku hizi hapa pamekuwaje!!! pamepoa saaaana!!Dah!kumbe nawe uliadimika swaiba wangu!nilipata mtu wangu,kwan hukuona msg ya shukran nilikutumia!
Thanx lov...You make me smile everyday, you make my heart race away, you make me feel like a king...
I love yooou!!! nakuja kupata cha mchana!!!