Am back again!

aaaaaah kumbe kipindi ile ulikuwa bado upo, kwa hiyo sasa hivi unapatikana kama kawaida? ila sijui siku hizi hapa pamekuwaje!!! pamepoa saaaana!!

Kweli swaiba kwa sasa nitakuwepo sn tu!hata mie nashangaa pamepooza sn hata cjaelewa nn tatizo aiseee!
 
Hata nyumbani hujafika ushaanza kujitangaza huku hadharani......... Hebu wahi ukamsaidie mama ngina kupika futari...........LOL

Khaaaaa!kwa taarifa yako hutaniona huko hm mpaka idd ipite lol!unafikiri cjui km nikija hm utaniwe lupango!utaningoja sn mzee Mtambuzi ooooh!nilisahau Mdingi yangu Mtambuzi!
 
Last edited by a moderator:
sio kwamba mumeo Rejao hajaibwa ni kwa kwa sababu hajathubutu kukatiza mtaa huu halafu ushukuru Asprin kaweza kuwa control wakeze chezeiya BADILI TABIA na Cacico

Hahahaha!umeniciekesha sn katibu mutasi (The secretary)lol! Hata km babu Asprin acngewacontrol wakeze bado wasingempata coz paswed yake ya jf alinikabidhi ndio maana nae aliadimika pia!hahahaha!
 
Last edited by a moderator:
Hellow wapendwa wangu,Kwa uweza wa mungu nimerudi tena baada ya kutoonekana kwa mda,niliwamiss kupita kiasi!Baba yangu Mtambuzi,Mme wangu kipenzi Rejao,mashem wangu wote,mawifi,maswaiba zangu wote na wanajf wote hasa hapa chitcha!i love u all!

Karibu tena school mate nilikumisije??
 
Back
Top Bottom