wape chakula wabongo wenzio wajasilia mali utawapaje kazi wachina, ni pm nikupe number
Mzee umempa "live inayotakiwa...! Nimefurahia sana unavyo"mind wajasiriamali wabongo!..lol!
Lakini hii avatar yako vipi Mkuu, imekaaje?
mkuu nadhani unakosea, nadhani unapandikiza mbegu ya ubaguzi hapa. Kigezo cha kutoa kazi kisiwe sura ya mtu au kabila lake au dini yake au rangi yake. Kigezo kinatakiwa kuwa ni ubora wa kazi, spidi ya kazi, unafuu wa bei n.k. Hivi ndivo vigezo vinvyoatakiwa kuangaliwa na sio kutoa kazi kwa kwasababu ni mbongo mwenzako hata kama anachemsha katika kazi.
ningependa sana kuwapa kazi wabogo lakini mara nyingi mafundi wetu wa kibongo wanakua waongo, wasanii, wavivu na walalamishi, walipuaji wa kazi na visingizio chungu mzima.
anyway, at the end of the day it is your money, so you decide.
PLASTIC WINDOWS ARE MUCH BETTER!!!!!
AVAILABLE IN TZ NAWADAIZ
Kusema kweli sibagui ila chema chajiuza ,pia sitaki nilipe nikubaliane na fundi
kisha kumaliza kazi kwa kushikana mashati hako ni ka ugonjwa ketu.Pili mbao inapendeza ila kwa Dar hali ya hewa nisingependelea ,nikijenga Lushoto nitaweka mninga.
sawa Kabisaaaa LadySwa.
Kwa kweli mbao ni very expensive lakini cha ajabu mafundi hawalijui hilo.
Pia mi nadhani madirisha ambayo bwana ameyaita ya plastic ni mazuri sana. Kimsingi yanaitwa "UPVC" - unplasticized polyvenyl chloride.
Advantage zake over mbao:
- hayachiji kwa jua na mvua, hayapindi, hayahitaji kupaka rangi mwaka baada ya mwaka
Vigezo vyema dhidi ya aluminium:
- Hayapati kutu (Aluminium original haipati kutu, lakini je, ZIPO bongo??????)
Hebu nipe elimu zaidi kuhusu UPVC windows, zinakuja katika rangi zote? zinakuja finished au unaweza kutengeneza kutokana na vipimo? gharama zake zikoje? zinapatikana wapi hapa bongo? Unaweza kunipa contact ya kampuni inayohusika nazo?
Asante mkulu
Ndugu Sikonge bei ya mbao siku hizi is quite prohibitve my friend. Nimejenga nyumba mimi ndani nimeweka milango vyumba muhimu tu. Kwengine access from the lounge to the dining to the kitchen TV room to study room ni arches tu. Ni ****** na mlango wa kwenda store na mlango wa mbele na nyumba ndiyo nimeweka milango.
wape chakula wabongo wenzio wajasilia mali utawapaje kazi wachina, ni pm nikupe number
Nipe namba ya mchina tafadhalikama unataka kutapeliwa, kawape kazi wabongo. Mimi binafsi niliwapa kazi yangu sasa ni mwaka wa 3 hakuna walichofanya zidi ya kinitapeli, nilipoenda kwa wachina nilikuta bei zao ziko chini sana na waliniwekea madirisha nyumba nzima just for 3 days, wabongo kazi zao ni utapeli. Majungu na usanii!