Aloyce Kimaro alazwa MNH

AK-47

JF-Expert Member
Nov 12, 2009
1,373
199
Mbunge wa Vunjo Aloyce Kimaro amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili baada ya kupatwa na ugonjwa wa kiharusi hapo jana akiwa Dodoma. Kimaro aliugua jana na kupelekwa katika hospitali ya mkoa wa Dodoma na baadae kusafirishwa kwa ambulance na kupokelewa leo katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.
 
Wishing him quick recovery!
 
Jamani, nimemuona bungeni J.4 asubuhi na jioni yake pole Dodoma hotel akiwa meza moja na Ndesa, huku amevalia kofia yake ya kizungu kama Spear.
Namuombea uponyanji wa haraka!.
Ombi kwa wanabodi, tujiaminishe hii ni hali tuu ya kawaida na tusiuhusianishe na mbio za 2010 huko Vunjo.
 
Pole san MH Kimaro, mungu atakutumia malaika wake wakupe uponyaji wa haraka. Sisi pia tunakuombea upone haraka.
 
Pole sana Mh Kimaro. Mungu akujalie upone kwa haraka.
 
Naambiwa ilikuwa ni mild stroke na sasa hivi anapumzikia wodini baada ya kufanyiwa uchunguzi. Mojawapo ya vitu vinavyonisumbua sana ni kuwa hospitali ya Dodoma haijapewa uwezo wa kuweza kuhudumia magonjwa mbalimbali kiasi cha kulazimisha mara kwa mara wagonjwa wahamishwe toka hapo hadi Muhimbili and then sometimes from Muhimbili to another foreign hospital.
 
afya za wapinga ufisadi zinatutisha

nakutakia afya njema kimaro mungu awe pamoja nawe
 
Je inawezekana mafisadi wamegundua mbinu mpya za kuwathibiti wapambanaji? Pole Kimaro Mungu atasimama nawe!!
 
Back
Top Bottom