Huyu Ally Kessy pamoja na mwenzake Tundu Lissu, wanafaa kabisa kuiongoza Tanganyika mpya isiyo nyonywa na yule kupe Zanzibar.
Naungana na wewe kabisaHuyu Ally Kessy pamoja na mwenzake Tundu Lissu, wanafaa kabisa kuiongoza Tanganyika mpya isiyo nyonywa na yule kupe Zanzibar.
Ardhi ya Dodoma ipo ndani ya nchi ya Tanganyika, Sasa unataka Wabunge wa Tanganyika waende wapi au nchi gani ili waweze kujadili mambo yao?
Poapoa tumekusikia. Turudi kwenye mada husika.Huyo ndiye alitoa Kwa mbwembwe jpm aongezewe muda wa kutawala, teeth wakanyakuwa jimbo.
Poapoa tumekusikia. Turudi kwenye mada husika.Huyo ndiye alitoa Kwa mbwembwe jpm aongezewe muda wa kutawala, teeth wakanyakuwa jimbo.
Yaani hata Mimi sijui!kwahiyo Bunge la Jamhuri ya Muungano likaekwe wapi Uganda ama?
"Kwa Mwari kwaliwa na kwa Kungwi nako kwaliwa."Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar akielezea kwanini mtanganyika haruhusiwi kumiliki ardhiView attachment 2979910