Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,352
- 9,811
Watu wanaogopa chungu. Hahaha
ile kitu ikifanywa ni hatari sana
John D na Monaban wameahidi kuvunja vyungu,
nawashauri wavunje kabisa vile vyungu pori.
jiandae wewe na damu yako yote si unajua ile inachukua boma zimaHofu yangu ipo kwenye unga mwenzenu napenda sana kula kwa Mama ntilie sasa ebu jiulize kama XYZ alimwaga mifuko ya unga kwa Mama ntilie na wewe umekula ugali unataka kulipa unaambiwa leo ofa itakuwa vipi ?.
Kama ni Monabani basi hicho chungu lazima kinipate kwakuwa nimekula Nyama na bia zake sana!
Wacha hizo kama wewe haukula yamkini Ndugu yako,Rafiki yako wamekula au unajifanya huoni hatari iliyo mbele yetu.
Chuga hukoHii itakuwa inawahusu Moshi mjini
mi nahisi ni wale majirani wao