Aliyeshindwa ubunge kuvunja chungu

Hofu yangu ipo kwenye unga mwenzenu napenda sana kula kwa Mama ntilie sasa ebu jiulize kama XYZ alimwaga mifuko ya unga kwa Mama ntilie na wewe umekula ugali unataka kulipa unaambiwa leo ofa itakuwa vipi ?.

ile kitu ikifanywa ni hatari sana
 
Hii ya John D wa arumeru mashariki ni kweli kabisa. kinacho muuna zaidi Nassari kamuacha kwa kura nyingi sana. tofauti ya kura elfu hamsini(50,000) siyo kidogo. Ila amekoma hatarudia tena
John D na Monaban wameahidi kuvunja vyungu,
nawashauri wavunje kabisa vile vyungu pori.
 
Kama ni Monabani basi hicho chungu lazima kinipate kwakuwa nimekula Nyama na bia zake sana!
 
Mwambie uchawi haumpati msela hata siku moja na ndio maana hata paka haishi kwa msela! Labda kama akina Mama walikula...
 
Hofu yangu ipo kwenye unga mwenzenu napenda sana kula kwa Mama ntilie sasa ebu jiulize kama XYZ alimwaga mifuko ya unga kwa Mama ntilie na wewe umekula ugali unataka kulipa unaambiwa leo ofa itakuwa vipi ?.
jiandae wewe na damu yako yote si unajua ile inachukua boma zima
 
Duh kama una kanyumba au gari fanya biashara haraka sana sidhani kama utauona mwaka mpya.Angalizo sijamtaja mtu jina bado naendelea na XYZ & ABC.

Kama ni Monabani basi hicho chungu lazima kinipate kwakuwa nimekula Nyama na bia zake sana!
 
Waache wafu wazike wafu wao,
Kwani aliyetoa rushwa alifanya dhambi na aliyepokea rushwa alifanya dhambi,wote ni wa ibilisi.
Vinginevyo kujiepusha na hukumu wajisalimishe kwa YESU.
 
Wacha hizo kama wewe haukula yamkini Ndugu yako,Rafiki yako wamekula au unajifanya huoni hatari iliyo mbele yetu.

Tatizo ni kwamba yeye amewagawia watu unga badala ya kuwagawia na mboga. Alidhani watu ni nyoka wanaokula unga mkavu bila mboga? Next time atakuwa amejifunza kitu
 
Rushwa ni Audi wa haki tuikatae kwa nguvu zote. Usikubali kupoteza haki yako kwa sababu ya fedha na chakula.
 
Jina la Monaban limekuwa gumu mdomoni mwa ngogo,Mikopo atoe yeye ubunge apewe lema MAJANGAAA..MBONA MAJANGa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom