Mhh unatupa moyo...mm pia nilikua sitaki kuongea ila mechi ya 5 hii hana improvement..Apewe muda Kuna kitu anacho, kwasasa ata faul kapunguza.
Washamaliza hao..point 7 nyingi...labda majini yao yalale...Naona kama tunaagana na ubingwa,wale wehu watapoteza kweli
Kama nyie akili mbili mlipousahau kwa miaka 4 mfululizo..kawaid sana...hakuna jipya kwa timu za kariakoo..
Pressure ni kubwa, mpeni mudaMhh unatupa moyo...mm pia nilikua sitaki kuongea ila mechi ya 5 hii hana improvement..
Mtani wangu kwema 😁🤣😁🤣🤣Mhh unatupa moyo...mm pia nilikua sitaki kuongea ila mechi ya 5 hii hana improvement..
Kwema mtani wangu...yani Fred kawa FredwaaaaaaaMtani wangu kwema 😁🤣😁🤣🤣
Nimecheka sana mkuuNaona kama tunaagana na ubingwa, wale wehu watapoteza kweli
🌝🌝Huu ni utapeli wa wazi,wachezaji wa aina ile hata wa ndani wapo na hawezi kusajiliwa na timu zingine ndogo.
Wanaosajili Simba wanafaa wawe nyuma ya nondo sahizi kwa utapeli wa wazi.
MBUMBUMBU kwaherini ya kuonanaaaaaaaaa😀😀😀🤪🤪Washamaliza hao..point 7 nyingi...labda majini yao yalale...