TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,839
- 21,448
Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.
Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa Tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam.
Nauli yao ni ya kila mtu aende kwa madiba tshs 316,000/- one way hiyo, bus litakuwa na huduma za choo, wi-fi nk.
☝🏾Interior seats 💺
Kuna kitu jamaa hakupata jibu hata mimi ni, haieleweki injini ya like basi kama ni Scania, Man au Marcedes Benz.
Nimependa ukubwa wa eneo kati ya kiti na kiti kweli ni long trip journey bus.
☝🏾Tiketi zao.
Mimi nasema kikubwa safari iwe njema na bbus liwe na nguvu kupasua hizo kilometers.
Soma zaidi hapa: 👉🏾 South African Bus Company now ‘launches’ Johannesburg to Dar-es-Salaam Routes | The Tanzania Times