TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,767
- 21,241
Mamlaka inayosimamia usafiri wa nchi kavu nchini Latra, imetangaza njia mpya katika mikoa ya Dar, Dodoma na Arusha.
Kwa Dar Es Salaam njia hizo ni Bunju sokoni hadi Kivukoni na Bunju hadi gerezani, njia nyingine ni Bunju sokoni hadi Magufuri Bus Terminal, nk.
Kwa Arusha kwa mromboo hadi Fire, kupitia Arusha Tech, Impala, sanawari na fire na kurudi na njia hiyo, nk.
Latra mnafanya vizuri kurahisisha mawasiliano ya usafiri kwa wananchi hasa kwa kutumia usafiri wa umma.
Tatizo kubwa ninaloliona ni usimamizi wa ubora wa hayo magari mnayoyapa vibali, mwanzani sijui ni mapya ila baada ya miezi michache gari kama takataka.
Kubwa na baya zaidi ni usimamizi wa nauli, ukweli nauli zinatuumiza sana wananchi, leo mnasema nauli labda 1050 kesho kutwa unakuta 1200, hapo hakuna mtetezi ukikomaa ulipe 1050 unapigwa vichwa na konda kama jamaa yetu bonge week moja iliyopita.
Mfano, sijui kilometers za Tegeta kwenda Kivukoni na Bunju kwenda simu 2000 ni ngapi, maana nauli ya Bunju to simu ni kubwa kuliko Bunju to kivukoni how?.
Huo ni mfamo mdogo tu na bado maeneo mengine ya nchi kukoje.