Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,931
- 1,168
Starz hata aje gadiola,tutapigwa tu.
Na kwanini tukacheze na Senegal km siyo level zetu??Kwa hiyo timu tukimpa Guadiola halafu akaita wachezaji wa Simba ndio utaweza kuwafunga Senegal?! Kwanini tusikubali Senegal sio level zetu?
Mkuu ulichouliza we mwenyewe umekiona? Kwa hiyo unataka kuniambia TFF ndio waliomba tupangwe na Senegal, Algeria na Kenya?! Aibu naona mimi.Na kwanini tukacheze na Senegal km siyo level zetu??
Mkuu kocha nimuhimu kwenye mpira naamin kama co ubinafsi wa kumfukuza yule kocha mzungu ile timu yetu ya vijana isingelizalilika nymbn kiasi kile na hata.kuwa kufungwa ndio sehemu ya mpira.lkn timu haikuonyesha uhai kiasi inakatisha tamaaKocha unamsingizia tu.Kiini cha tatizo la soka letu siyo makocha.Ndo maana tunaishia kubadli makocha kila uchao lakini hakuna kinachobadilika.Hata angepanga kikosi gani isingesaidia.Mpira ni uwekezaji wa muda mrefu ndugu, hautaki bla bla...!.Shida yetu "tunasoma msuli sisimizi tukitegemea Matokeo tembo".
Mkuu kocha nimuhimu kwenye mpira naamin kama co ubinafsi wa kumfukuza yule kocha mzungu ile timu yetu ya vijana isingelizalilika nymbn kiasi kile na hata.kuwa kufungwa ndio sehemu ya mpira.lkn timu haikuonyesha uhai kiasi inakatisha tamaa