alitoa mimba na bado ananitaka..

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
Binti huyu tulifahamiana miaka miwili iliyopita na tukawa very good friends, tukaja achana kwa sababu za kikazi...mwaka uliopita tulikutana tena na katika kukumbushia urafiki tukajikuta tunaenda over-board na kufanya the 'not needful'...nikaondoka na kurudi nyumbani. kumbe huku nyuma alishika ujauzito wangu (so she claims)
miezi mitatu baadaye tulikutana ndipo akaniambia alishika mimba ila ilitoka 3days kabla tuonane (alivamiwa na majambazi katika kumghasi ghasi walimgonga tumbo mno) siku mbili baadaye mimba ikatoka!
Kabla ya stori hii nilikuwa na some feelings towards her...hoping kuwa na relatioship na yeye despite what we did on that day. Ila tangu ameniambia mimba ilitoka akili yangu imekuwa ikiwaza kuwa hiyo ni strategy ya kunikeep with her nione dat she went through a lot for me..
tatizo ni yeye anavyo insist kuwa ananipenda and she wants to be with me...na pia kuwa i still have feelings for her.
How do i remove my doubts? how do i ascertain that she truly loves me? ..is she even worth it?
 
mimi nahisi kama ana uwongo fulani.ila maybe kwa kuwa anakupenda,anaona bora atie chumvi kidogo.jipe muda kuwa nae,na kama ana uwongo mwengine,utaujua tu.katika mapenzi,uwongo mdogo mdogo pia upo,ila usizidi tu
 
Hiyo ishu ni ndogo
muulize alienda hospitali?
hospitali gani?
amesafishwa vizuri?
ikibidi ongea na dokta unaemuamini uende nae amtazame...

na kuhusu majambazi.je kuna rb ya kuripoti polisi?

halafu je unampenda?
 
Akutake wewe andunje. Acha uongo unafikiri ckujui. Wewe mwenyewe, niseme? Et anakujaka wakati goli moja hoi, uongo? Hehehehehe. Ngoja nicheke kwan nina meno
 
Hujasema km utamuoa au huna mke
Huyo anakupima huenda story ni kutaka mtoto mpeleke kwa Dr akasafishwe
 
mimi nahisi kama ana uwongo fulani.ila maybe kwa kuwa anakupenda,anaona bora atie chumvi kidogo.jipe muda kuwa nae,na kama ana uwongo mwengine,utaujua tu.katika mapenzi,uwongo mdogo mdogo pia upo,ila usizidi tu
mh..sa kama ananidanganya jambo kubwa hivi, na sikwamba sikumpenda kabla..actually am the one who declared the INTEREST TO be with her so sidhani kama kulikuwa na haja ya kudanganya! au??!
Hiyo ishu ni ndogo
muulize alienda hospitali?
hospitali gani?
amesafishwa vizuri?
ikibidi ongea na dokta unaemuamini uende nae amtazame...

na kuhusu majambazi.je kuna rb ya kuripoti polisi?

halafu je unampenda?
hapooo ndo penye tatizo....the fact that i love her is what complicates the matter. nlishamuuliza abt cheti cha hospital kuuhusu mimba or the abortion for that matter bt wakati huo alikuwa amekuja kuntembelea so akasema ameviacha home.

Hujasema km utamuoa au huna mke
Huyo anakupima huenda story ni kutaka mtoto mpeleke kwa Dr akasafishwe
sina mke ndugu, at first wakati tunafahamiana up until th incident, i had high hopes of making her my wife..kwasasa i have doubts, ndo maana!
 
Back
Top Bottom