...wakati tupo chuo niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja ambaye tulikuwa tunashare baadhi ya masomo (options). Tulianza mahusiano mapema tu
...Nilipomuuliza akaniambia ni kwasababu anajua hatoishi naye, kwahiyo haina athari zozote. Sio siri iliniuma sana ila kwakuwa nilikuwa nampenda tuliendelea hivyo mpaka tulivyograduate. Sasa umefika wakati wa kuanza kufikiria ndoa napata shida kweli kama nitaweza kuishi na mwanamke huyu
...yeye anasisitiza kuwa ameshaacha kukutana naye toka kipindi kile kutokana na reaction niliyoonyesha.
inawezekana hata wakati anaandika hizo messeji alikuwa kwenye kifua cha huyo mwanamume!
wakati tupo chuo niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja ambaye tulikuwa tunashare baadhi ya masomo (options). Tulianza mahusiano mapema tu, ila siku moja tukiwa mwaka wa pili likizo ndefu mimi nikiwa nimeenda nyumbani-mkoani. Mwenzangu kwao ni hapa DSM akawa anaendelea na mahusiano ya kimapenzi na bwana wake wa zamani. Baada ya likizo kwisha siku moja ikawa tunapiga story kawaida ikatokea tu tukaanza kuongea kuhusu wapenzi wetu wa zamani. Sijui ilikuwaje tukaanza kuulizana siku za mwisho kukutana nao. SIKUAMINI PALE GIRLFRIEND WANGU ALIPONIAMBIA KUWA NI MWEZI WA SABA, kumbuka hicho kumbuka ndio tulikuwa likizo na tulikuwa tunawasiliana sana hata kuandikiana meseji za TAKE CARE EEH! Nilipomuuliza akaniambia ni kwasababu anajua hatoishi naye, kwahiyo haina athari zozote. Sio siri iliniuma sana ila kwakuwa nilikuwa nampenda tuliendelea hivyo mpaka tulivyograduate. Sasa umefika wakati wa kuanza kufikiria ndoa napata shida kweli kama nitaweza kuishi na mwanamke huyu kwa kuwa yale maumivu bado yapo moyoni mwangu bado. Ingawa yeye anasisitiza kuwa ameshaacha kukutana naye toka kipindi kile kutokana na reaction niliyoonyesha.
Naombeni mnisaidie
Nifanye nini kwani bado inaniuma sana hasa nikikumbuka wakati mimi niko likizo tulikvyokuwa tunawsiliana PLEASE TAKE CARE MY LOVE kumbe mwenzangu inawezekana hata wakati anaandika hizo messeji alikuwa kwenye kifua cha huyo mwanamume!

Nashndwa kukuelewa ndugu yangu, kwani kulikuwa kuna kitu gani hadi mkafikia kuulizana hivyo? Inaonyesha mlikuwa watoto kiasi kwamba unamuuliza mpenzi wako ni muda wa mwisho kukutana X-BF wake! Na inaonyesha kweli anakupenda maana alikuueleza ukweli na ndo ukakuleta machungu, sasa vip ulitaka akudanganye kuwa ilikuwa miaka 5 iliyopita? Ushauri wangu kama ulianzisha wewe mwenyewe ulilikologa inakupasa ulinywe bint hana kosa alikueleza ukweli!
Jikaze baba kumbuka wanaume tumeumbwa mate....... kuhangaika!
Mdogo wangu! sifa ya mwanamume ni kufanya maamuzi yake mwenyewe.
Wewe inaonyesha sio mvumilivu maana bado unakumbuka kitu ambacho mlisha sameheana hapo nyuma, inaonyesha hata mkiingia ndoani siku mkitofautiana kidogo utamkumbusha hilo. Naamini litamuuma sana akijua huwa unasamehe kinafiki.
Kumbuka wewe pekee ndo unajua umeumia kiasi gani na mkasa huo. Sasa jiulize unaweza kusahau na uanze maisha mapya? maana wanawake hubadilika sana, kumbuka hizo ni foolish age.
Nakushauri umuoe huyo binti maana kila mtu hapa duniani amewahi kufanya ujinga na kama hukumbuki basi ujue ndio unafanya ujinga sasa ...ACHAAA
Kumbuka hii leo ni ngumu sana kuanza kutafuta mtu mpya na muanze mahusiano ya pekupeku maana watu wapima kwa macho siku hizi.
Chukua mzigo wako jikaze, vumilia huo ulikua ni utoto tu na ndio maana alisema ukweli otherwise angekuficha na angeendeleza libeneke mpaka kesho.
Nadhani nimekuwa mvumilivu kuliko unavyofikiri, na pia usema age ya 25 to 26 ni foolish age kwangu sio kweli. Halafu kumbuka huyu binti wakati tunakutana kimapenzi tulikuwa tunatumia condoms. Lakini kuna siku alikuja akaniambia anahisi ana mimba kwakuwa haoni siku zake.
M'mwage..life is too short to live miserably
Ndugu Sipo,
Kama hili linapokusumbua moyoni sasa, huko uendako litakuwa chungu zaidi, hasa utakapokuja kubaini kuwa anaendelea nae au atakapojipatia mwingine. Kumbuka mlamba asali halambi mara moja. Mimi nadhani hapo ulipofikia kuja kuomba ushauri katika uwanja huu, basi upo mbali. Chukua hatua zitakazokufanya ufurahie mapenzi kwa muda ulionao. Ila yakupasa pia kujua kuwa kumwacha huyo haikufanyi kumpata ambae atakuwa mzuri au mwaminifu kuliko huyo! Viumbe hawa (wanaume na wanawake) hawaaminiki.
Wakati niko mdogo nilishudia masela/mateja wakienda kum-baka mdada mgonjwa wa akili, lakini kabla ya kuanza kum-baka walimuogesha kwa sabuni nyingi tu then wakamuanlika juani kiasi ili akauke maji na baadaye wakajisevia.
Na wewe mchukue mchumba wako makilshe chini muongee vizuri mkumbushe hiyo mikasa yote na uone kama ataahidi kubadilika umuoe.
Nimegundua unampenda huyo dada, sasa tumia muda wako kumjenga ili umpende zaidi.
Hao wanawake wote wenye tabia nzuri wameandaliwa, japo wapo waliozaliwa na vipaji vyao/tabia zao nzuri
utoto ulikuwa unakusumbua, na kama huna uhakika na hiyo mimba kama ni ya kwako, muache!!! Kumbuka kwa sasa hujafungwa na kitu chochote.
ni kweli nampenda lakini naogopa kumpenda mtu ambaye amenisaliti na kuniumiza kwa sababu anaweza kuwa kikwazo maishani mwangu. Unajua mapenzi ni furaha na sio karaha. Sasa kama mtu alishindwa kuniheshimu hapo hata kama tunapendana vipi si itkuwa kudanganyana. Halafu mimi nafikiri watu wengi wanatembea na ma-ex wao lakini sio mpaka the present one ajue kuwa umetoka nje. It pains jamani! Acha! Nashukuru kwa ushauri once again
Nadhani nimekuwa mvumilivu kuliko unavyofikiri, na pia usema age ya 25 to 26 ni foolish age kwangu sio kweli. Halafu kumbuka huyu binti wakati tunakutana kimapenzi tulikuwa tunatumia condoms. Lakini kuna siku alikuja akaniambia anahisi ana mimba kwakuwa haoni siku zake. Mimi nikamuuliza uko serious au unatania, akaniambia niko serious mpaka alienda hospitali kupima. Ebu pima hapo na baada ya kama wiki mbili ndio akaja kunieleza kama nilivyoandika kwenye post ya kwanza. Jamani hivi hii kweli ni sahihi? Ila nashukuru kwa ushauri wako
Mnh!! Mara ya kwanza alikuambia kwamba alikutana nae ingawaje mlishakuwa tayari ni wapenzi!!! Kwa jinsi ilivyo, si ajabu ni yeye ambae alianzisha hayo maongezi kuhusu ex-friends!!! For sure, lipo jambo ambalo lilimdatisha ambalo alitamani sana ulijue, otherwise asingekuambia kwamba alikutana nae wakati tayari mlishakuwa wapenzi!! Vuta kumbukumbu unapoenda kuangalia matokeo (especially when u are just a kid, may be o-level or primary) halafu ukakuta umefaulu!! baada ya kuona matokeo hayo, utatamani upae angani ili ukamwambie kwamba umefaulu!! Umedata na matokeo mazuri!!!Hofu yangu ni kwamba, shemeji yetu alidatishwa ile mbaya kiasi kwamba ilikuwa ngumu kuhifadhi siri hii!!! Mhemuko ukiwa mkubwa, akili ya kibinadamu hugoma kufanya kazi!! Pole sana, am afraid ataendelea kukusaliti kwa sasa atakuwa makini na kauli zake kv ulikuwa aggressive alipokupa info!!wakati tupo chuo niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja ambaye tulikuwa tunashare baadhi ya masomo (options). Tulianza mahusiano mapema tu, ila siku moja tukiwa mwaka wa pili likizo ndefu mimi nikiwa nimeenda nyumbani-mkoani. Mwenzangu kwao ni hapa DSM akawa anaendelea na mahusiano ya kimapenzi na bwana wake wa zamani. Baada ya likizo kwisha siku moja ikawa tunapiga story kawaida ikatokea tu tukaanza kuongea kuhusu wapenzi wetu wa zamani. Sijui ilikuwaje tukaanza kuulizana siku za mwisho kukutana nao. SIKUAMINI PALE GIRLFRIEND WANGU ALIPONIAMBIA KUWA NI MWEZI WA SABA, kumbuka hicho kumbuka ndio tulikuwa likizo na tulikuwa tunawasiliana sana hata kuandikiana meseji za TAKE CARE EEH! Nilipomuuliza akaniambia ni kwasababu anajua hatoishi naye, kwahiyo haina athari zozote. Sio siri iliniuma sana ila kwakuwa nilikuwa nampenda tuliendelea hivyo mpaka tulivyograduate. Sasa umefika wakati wa kuanza kufikiria ndoa napata shida kweli kama nitaweza kuishi na mwanamke huyu kwa kuwa yale maumivu bado yapo moyoni mwangu bado. Ingawa yeye anasisitiza kuwa ameshaacha kukutana naye toka kipindi kile kutokana na reaction niliyoonyesha.