Amerudi na mtoto wa kitasha ,aliniacha maskin sasa nina fedha si kama Lowasa aaa ,ya kubadilisha tu mboga yaaan tajiri wa kati nifanyeje ndugu .Ila Mtasha wake alifariki katk Vita huko Afghan
ukiona mtu anatafuta ushauri kwenye issue kama hii ujue kishamzimikia demu kishenzi ila anatafuta justification tu
Amerudi na mtoto wa kitasha ,aliniacha maskin sasa nina fedha si kama Lowasa aaa ,ya kubadilisha tu mboga yaaan tajiri wa kati nifanyeje ndugu .Ila Mtasha wake alifariki katk Vita huko Afghan
Amerudi na mtoto wa kitasha ,aliniacha maskin sasa nina fedha si kama Lowasa aaa ,ya kubadilisha tu mboga yaaan tajiri wa kati nifanyeje ndugu .Ila Mtasha wake alifariki katk Vita huko Afghan
Heho Hehooo!JF raha tupu.WE kima acha ubwege swali la kingese peleka facebook.
Ni kweli wazungu ndo taste zake,acha mshikaji awe spare tyre kwa muda.mzee akija mzungu mwingine ataondoka hizo ndio test zake
Ukigeuka nyuma tu utakua jiwe la chumvi,mkumbuke Luthu
hahahahah nimeipenda. .Napita