Alikuwa mpenzi wangu miaka kumi ilyopita sasa anadai tuoane huku aliniacha akasepa na mzungu majuu .

hahahahaaaa mwambie ukotayari uoane nae maana ww si ni zoba, wakurisi wajane? Yaani ww ungekuwa karib yangu ningekupiga mateke ya shingo bahati yako.
 
Amerudi na mtoto wa kitasha ,aliniacha maskin sasa nina fedha si kama Lowasa aaa ,ya kubadilisha tu mboga yaaan tajiri wa kati nifanyeje ndugu .Ila Mtasha wake alifariki katk Vita huko Afghan

Ukiona manyoya, kaliwa......wacha mambo yako bna watoto wazuri wako kila kona, domo lako tu kwan lazma yeye ??? :lol: Be happy & live life. unless unambie ulizimika kweli !!!
 
ukiona mtu anatafuta ushauri kwenye issue kama hii ujue kishamzimikia demu kishenzi ila anatafuta justification tu
 
Inaelekea maisha yamekugonga sana nakushauri usiangalie makunyanzi wee lala nae mbele lakini kabla ya hapo kapime afya yake kwanza. kwani kuna wengi hufiwa na wanaume na kusingizia ajali, vita etc kumbe alikufa kwa ngoma
 
Amerudi na mtoto wa kitasha ,aliniacha maskin sasa nina fedha si kama Lowasa aaa ,ya kubadilisha tu mboga yaaan tajiri wa kati nifanyeje ndugu .Ila Mtasha wake alifariki katk Vita huko Afghan

Ukisikia kuna wanaume na magumegume ndio haya.
 
we ni mlafi wa mapenzi mademu unao kibao unaangaika na kukodolea mjane kisa ameolewa na mzungu umepotea!
 
Amerudi na mtoto wa kitasha ,aliniacha maskin sasa nina fedha si kama Lowasa aaa ,ya kubadilisha tu mboga yaaan tajiri wa kati nifanyeje ndugu .Ila Mtasha wake alifariki katk Vita huko Afghan

Beware! Utaverify vipi kama kweli mumewe alifariki vitani? Unaweza kuwa unataka kuangukia mikononi mwa black widow!
 
Dah! Au umempenda huyo mtoto wa kitasha aliyekuja naye?wkt anaenda na mzungu alikuaga? Acha ushamba piga chini tafuta kifaa kingine.
 
hahahahah nimeipenda. .Napita

Nashukuru sana ndugu zangu kwa ushauri wenu ,Nemeamua kumuaoa Kipenzi changu ,pia na mtoto nimeamua kulea,kwani hv sasa nimeamua kumpeleka shule yuko darasa la 3, yote maisha kwani ajuae ni mola .Niombeeni ndoa njema.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom