walau hajamtaja kwa jna ila ujumbe umefika
whatever hajmataja jina wala hajaweka sura yake what matters ni ujumbe hajatumia ujumbe wa kumdhalilisha wala wa kumkebehi bali ni kumtaka abadilike,na amempa ways za kubadilika kw kupitia hiyo rehab na methadoneAliweka picha ya lord eyez akiwa ameshikwa na polisi, aliyepost nahisi ameikata ila ukiangalia vizuri utaona miguu ya polisi na jamaa kavaa ndala.
whatever hajmataja jina wala hajaweka sura yake what matters ni ujumbe hajatumia ujumbe wa kumdhalilisha wala wa kumkebehi bali ni kumtaka abadilike,na amempa ways za kubadilika kw kupitia hiyo rehab na methadone
Kwenye instagram aliweka picha complete kabisa ya Lord Eyez na polisi but huyu aliyepost hapa JF ndiye aliyeikata wakati anafanya screen shot nafikiri!! Nadhani umenielewa
Kwenye instagram aliweka picha complete kabisa ya Lord Eyez na polisi but huyu aliyepost hapa JF ndiye aliyeikata wakati anafanya screen shot nafikiri!! Nadhani umenielewa
sio kweli, hii habari nimeikuta katika blogs nyingi hakumtaja jina wala hakuweka picha mkuu!
Sio swala la kubishaniwa hili, nenda mfollow rayc1982 uiangalie hiyo picha aliiweka jana! Caption yake ndiyo hiyo hizo blog si wanacopiana so alivyocopy mmoja wote wameweka hivyo!! Nimeiangalia now tena ni picha ya tatu kutoka mwanzo ili uhakiki mie nimeshindwa kuweka hapa