ALI YUSUF MUGENZI ni MTUTSI?

We mufirisi, kila anaesema mambo positive kuhusu watusi naye ni Mtusi. we mbona unawatetea wahutu we ni Mhutu? sema we ni hutu? Au wacongo. we unajichubua ni Mcongo? sema, inawezekana we ni pandikizi la kigeni
kama watusi mlivyo na laana ya mauji wakongo na wahutu wasio na hatia.
 
... a slim 62-kg man, with a pointed nose .. he was always mistaken for a Tutsi .... ... all the time he felt betrayed by his appearance.

Haya yaliwahi kunikuta huko rw miaka ya nyuma kidogo pamoja na uTZ wangu!.. niliingia kwenye kanisa la watu ambao sifanani nao! .
 
We mufirisi, kila anaesema mambo positive kuhusu watusi naye ni Mtusi. we mbona unawatetea wahutu we ni Mhutu? sema we ni hutu? Au wacongo. we unajichubua ni Mcongo? sema, inawezekana we ni pandikizi la kigeni

acha dharau, watu watafukua kaburi lako na kuchoma mifupa kwa hasira, ni wakongo wote wanaojichubua? wewe ndiye mufilisi si wewe kila siku hapa unanibebesha uhutu kwa kuwa mkweli? mbona leo unakula matapishi yako? kamwulize koba! jaribu kuwa mkweli katika kujenga hoja maana nina uhakika hata kudanganya mtoto hujui!
 
Ukiona moshi,jua kuna moto!
Sio siri, mi nakerwa na watu wanaokazania kuongelea makabila ya watu! Hivi nani wa kumkosoa Muumba? Wote njia yetu ni moja! Hapa tunashabikia ugomvi na wanyarwanda sijui kumfurahisha nani? Tuwasamehe ili kulinda amani na umoja wa Africa! Huu si muda wa kukazana kumimina petrol ktk migogoro ila kuiepuka na kulinda utu wetu.
Ukitukana, jitafakari kwa imani yako!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wanyarwanda mrudi kwenu tumewachoka na tabia zenu za kupenda ugomvi kila mnapokaribishwa...
 
ahahahaaaaaaaaaa...wee jamaaaa ni jiniasi kinoma...ngoja nicheke tena niongeze cd4..ahahahaaaaaaaaaaaaa ahahahaaaaa... Jf raha sana.

Madaktari tafadhali muwe munatu-andikia dozi ya kuhudhuria jf kutwa mara 3 tuweze kucheka na kuongeza cd4 ili tuishi maisha marefu...hasa sie wagonjwa wa hili gonjwa letu na wenye stress zao.
 
ukiona moshi,jua kuna moto!
Sio siri, mi nakerwa na watu wanaokazania kuongelea makabila ya watu! Hivi nani wa kumkosoa muumba? Wote njia yetu ni moja! hapa tunashabikia ugomvi na wanyarwanda sijui kumfurahisha nani? tuwasamehe ili kulinda amani na umoja wa africa! Huu si muda wa kukazana kumimina petrol ktk migogoro ila kuiepuka na kulinda utu wetu.
Ukitukana, jitafakari kwa imani yako!

Sent from my blackberry 9220 using jamiiforums

acha ubwege wewee...hujui kuwa adui wa adui wako ni rafiki yako?......kuwa ujuwe.

Wewe unataka kusema sie tunatakiwa tuwafurahie rwanda inayoongozwa na kagame kwa kipi hasa??... Huyu tall mpuuzi anahitajika kutiwa dispilini haraka sana soo anapotokea mtu moja ndani mwake akamtolea uvivu sie kwetu ni furaha tosha...

Pia ujuwe...msiba wa adui yako ni sherehe kwako..na adui muombee njaa.

Kuwa uyaone...au na wewe ni wale waleee??
 
ahahahaaaaaaaaaa...wee jamaaaa ni jiniasi kinoma...ngoja nicheke tena niongeze cd4..ahahahaaaaaaaaaaaaa ahahahaaaaa... Jf raha sana.

Madaktari tafadhali muwe munatu-andikia dozi ya kuhudhuria jf kutwa mara 3 tuweze kucheka na kuongeza cd4 ili tuishi maisha marefu...hasa sie wagonjwa wa hili gonjwa letu na wenye stress zao.

No forward hii copy kwa MziziMkavu daktari bingwa wa afya ya jamii na rais wa JF akuandikie dozi ya starehe. Vuta subira atakuja tu kwani yeye anatembea na Air Foce JF kila kitu ndani, ukimbipu tu huyo kaingia. Subiri.
 
Back
Top Bottom