Ni Mkuu wa BBC idhaa ya MAZIWA MAKUU. Amehojiwa na BBC DIRA YA DUNIA TV(Star TV). Kalalia zaidi upande wa serikali ya Rwanda kimsimamo. Je ni MHUTU au MTUTSI?
Alikua anatetemeka kujibu maswali kwani hakua na nia ya kutoa majibu sahihi.
Ni Mkuu wa BBC idhaa ya MAZIWA MAKUU. Amehojiwa na BBC DIRA YA DUNIA TV(Star TV). Kalalia zaidi upande wa serikali ya Rwanda kimsimamo. Je ni MHUTU au MTUTSI?
Ni Mkuu wa BBC idhaa ya MAZIWA MAKUU. Amehojiwa na BBC DIRA YA DUNIA TV(Star TV). Kalalia zaidi upande wa serikali ya Rwanda kimsimamo. Je ni MHUTU au MTUTSI?
Report si ukweli, huyu ni Mtutsi 100% angalia uso na umbo la kichwa, hana upakistani hata kidogo. Chezea Watutsi?

ni muhanga wa mauaji ya kimbari 1994 alikimbilia uingereza na familia yake. Ni mtutsi.
mtu anaye discuss kabila la mwenzake ni mufirisi wa mawazo! Ni bure! Mtu huzaliwa huru, na hachagui azaliwe kabila gani, hayo ni mapenzi ya mungu! Kabila ni zawadi ya mungu, mtu mwingine, kama watoa maoni hapa, kuzungumzia ukabila na kushambulia watu kwa kabila lao, ni mfirisi, hovyo, na wana laana ya mungu!
je, wewe kama mu tz ukiulizwa utasimama upande gani?
Au wewe huna utaifa? Ally kabla ya utusti au uhutu wake ni munyaru.